@dalali_msafi_mbeya: VYUMBA YA MOTOO๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’ฏ watu wanawekeza jamn ๐Ÿฅฒ๐Ÿ˜‚ hii Nyumba naipangisha mwenyewe #Dalali msafi #mbeya โ˜Ž๏ธ๐Ÿ“ฒ 0791359341 #dreamhouse NI CHUMBA MASTER SEBURE NA JIKO โœ…๐Ÿ’ฏ LOCATION: ๐Ÿ“ IWAMBI MAZIWA .. N.B ๐Ÿ“ ๐Ÿ”— INAJITEGEMEA MAJI ๐Ÿ’ฆ NA UMEME ๐Ÿ’ก ALAFU MAJI BURE ๐Ÿ”— INA WiFi { BANDO INTERNET ๐Ÿ›œ FREE} ๐Ÿ”— FULL PARKING ๐Ÿ…ฟ๏ธ ndani ya fenc chini paving (vigae) ๐Ÿ’ฏโœ… ๐Ÿ”— IPO LAMI LAMI UKITOKA NJE LAMI UNAIONA ๐Ÿคโœ… KODI YAKE 400K ๐Ÿ’ฐ miezi mitatu .. 350K ๐Ÿ’ฐ Mwaka mzima ๐Ÿค . โ˜Ž๏ธ๐Ÿ“ฒ Call // WhatsApp 0791359341 #fypใ‚ทใ‚šviral #creatorsearchinsights

DALALI MSAFI MBEYA ๐Ÿ˜๏ธ ๐Ÿ“
DALALI MSAFI MBEYA ๐Ÿ˜๏ธ ๐Ÿ“
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 21 June 2026 10:11:36 GMT
29633
711
28
51

Music

Download

Comments

......l9ss0
PAPII_ARIES :
Wanawekeza ila sio kwa 400k
2026-06-21 15:50:45
4
kelvinsanga217
Kelvin Sanga :
400k unazingua ni nzur ila siyo kwa hiyo bei
2026-06-22 04:15:51
1
ljy961
LEWIS STORE :
Tajir natka nyumba kabwe
2026-06-21 19:21:30
0
humbleboyog
Humble Boy :
hizi Bei waga wanajifikiria kweli๐Ÿ˜‚
2026-06-22 08:22:05
0
giftwillson82
Bossbaby ๐ŸŒบ :
๐Ÿšถโ€โ™€๏ธ๐Ÿšถโ€โ™€๏ธkweli ya moto
2026-06-21 20:54:58
0
elizabeth.david726
Elizabeth David :
ni wapi
2026-06-21 18:29:34
0
lauannuary1
LAU ANNUARY :
mwambie afanye 250 nmlipe mwaka mimi
2026-06-22 11:43:07
0
babymou88
Miss ๐ŸŒธNo one๐Ÿค :
single self bei gan
2026-06-22 07:51:37
0
k.pizzo1
k pizzo :
asa citaunguq kama ya moto
2026-06-22 06:51:35
0
dafaa762
๐ŸŒน๐ŸŒนENEYOSI๐ŸŒน๐ŸŒน :
ni Dar au Mbeya
2026-06-22 09:16:02
0
official_jozy
Jozy :
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃkwa 400k acha iendelee kuwa yamoto
2026-06-22 06:13:15
0
jux_tronixmultbusness
Jux multbusness :
kodi shingap
2026-06-21 21:11:59
0
kelvinsanga217
Kelvin Sanga :
400k kwa mwezi au 400k kwa miezi mitatu?
2026-06-22 04:14:18
0
babynyla15
babyNyla15 :
bei gan kwa mwez
2026-06-21 15:48:25
0
miam2020
miam@2020 :
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
2026-06-21 20:22:09
0
To see more videos from user @dalali_msafi_mbeya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About