SIO WOTE MM MKEWANGU ANANIULIZA KILAKITU NANINAMJIBU ANAFURAHI IWEJEUSEME WANAUE EMBU NITOWE KWENYE DHAMBI YAKIISLAM
2026-06-21 19:29:41
8
Naila :
ck moja mume wangu nulimuuliza mbona umechelewa akanijibu hayakuhusu 😂 ck ya pili akakamatwa na police karudi saa 8 uck sjamuuliza kapeleka kesi kwetu mtoto wenu hanipendi😂😂
2026-06-21 20:19:31
6
user6336535078621 @selinawes :
hapo kwa uko wapy ntauliza mbaka asime simu😂😂😂😂
2026-06-21 19:54:53
5
IMM :
nipike nini ndiyo swali kero kwangu hua spendi kabisa Kabisa
2026-06-21 21:01:40
1
maryam :
mie mwenyewesipendi
2026-06-21 20:57:20
1
Shadya Othman :
wale wale tu
2026-06-21 21:11:53
0
Juma Ibrahim :
kingine kuulizwa eti umelala
2026-06-21 21:30:49
0
jacqueline :
Mimi sio mwanaume ila ilo swali silipendi
2026-06-21 21:32:50
0
Yussuf Seif :
hhhh mimi sijuii kwnn hua napanic ndan kw ndan akiniuliz upo wap piaa upo na naa? aaa navurugik namuon aduii
2026-06-21 21:21:17
0
Rehema cute 💕 :
bby leo nkupe style gani?...🤣🤣🤣
2026-06-21 22:39:10
0
user4088349293830 :
duu shekhe
mm mwanamme
Lakin hayo maswali siyapendi kuulizwa
hasa hilo tupike nini hee kwanza sijibu
nikweli nikitaka chakula maalum nakipeleka au nasema leo tupike chakula flani
2026-06-21 21:11:17
0
Shadya Othman :
wanyanyasaji utawajua tu
2026-06-21 21:13:31
0
user4088349293830 :
siku moja niliuluzwa tupike nini
jibu langu
tupike ugari wa muhogo
alitafuta unga wa mohogo hadi hakuupata
mpaka leo hajaniuliza tena
2026-06-21 21:17:12
0
Samia suluhu :
Kwaio me kumuliza baba unajisikia kula nn Leo kosa 😂😂😂😂😂aya ban
2026-06-21 14:06:09
0
Rose 🌹 :
Hakuna mnacho kipendaa hata upewe nini babuuueeee
2026-06-21 20:11:33
4
zainabu ally :
hata sisi hatupendi
2026-06-21 19:40:49
0
Maliki Chamiwa :
alf wanapenda sana ayo maswali
2026-06-21 20:08:28
1
Naila :
bora mmetusanua na tunapenda kufanya msivyo vipenda😂😂
2026-06-21 20:16:06
1
super content members :
sasa kwenye kupika mh kaka umechemsha
2026-06-21 18:00:31
0
LASTBORN❤ :
mwendo wakuulizwa mpka mjute 🤣🤣🤣
2026-06-21 13:52:35
1
To see more videos from user @abdurahmanijuman, please go to the Tikwm
homepage.