@kitchencabinetsquality: 🌟 KABATI LA NGUO LA KISASA (MDF QUALITY) 🌟 Tunatengeneza kabati la nguo la kisasa lenye: ✨ Sehemu ya kuning’iniza nguo ✨ Sehemu ya kukunja nguo ✨ Sehemu ya kuhifadhi begi ✨ Ubunifu wa kuvutia unaofaa kwa vyumba vya kisasa Tunatumia MDF za KITURUKI zenye ubora wa hali ya juu, zenye mwonekano wa kisasa na uimara wa muda mrefu. Tunatengeneza kwa size na rangi unazotaka wewe mteja. 📍 Tunapatikana Mbezi Beach, Dar es Salaam 🚚 Tunafanya kazi kwa wateja mikoa yote Tanzania 💰 Visit 30,000 TZS — baada ya makubaliano, gharama hii itahamia kwenye kazi yenyewe 📞 Wasiliana nasi: 0753 205 555 #KabatiLaNguo #MDF #FurnitureTanzania #MakabatiYaKisasa MbeziBeach HomeDesign WardrobeDesign TanzaniaFurnitures