@bongofive: Tazama namna msanii Q Chief alivyoshindwa kujizuia kwa Mkubwa Fella hivi ndivyo alivyozungumza mbele ya Mastaa wenzake kushukuru Fadhila za Mkubwa Fella kwenye Muziki wake Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya youtube ya Bongofive

Bongofive
Bongofive
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 21 June 2026 13:22:39 GMT
62743
2413
43
69

Music

Download

Comments

astrida470
Naiphat 🌺🇹🇿🇴🇲 :
mkubwa fela mpk akabadilika jmn mungu mpatie afya njema
2026-06-21 16:14:58
15
abbiequan
abbie _quan :
daaaah,Mungu amafanyiee wepesi aponeee mkubwa
2026-06-21 14:13:14
19
dominican.kip
Dominican Erico :
Quick recovery 🙏
2026-06-21 19:37:34
0
_shania_25
shania🌹 :
pole sana
2026-06-21 19:36:35
1
rashda339
rashda🦋🥰🕊️ :
Allah yupo pamoja na we
2026-06-21 19:05:55
2
mr.quality...cloth
Mr quality...clothing :
Maneno mazuri huponya nafsi ya mtu hata na mimi nimependa sana namna chila alivyojielewa very powerful words
2026-06-21 19:23:50
2
banda.wa.the.star
Banda wa The Star🌟 :
Allah atupe mwisho mwema na tumalize tofauti zetu inshallah kwa upendo hii ni kubwa xn utapona baba yetu said fella🙏
2026-06-21 14:15:00
7
jamilabosslady
Jamila kontena :
Allah akufanyie wepesi baba
2026-06-21 19:57:20
0
deluxetz
DELUXE TZ :
pole san
2026-06-21 19:38:41
0
kashinde.athumani
Kashinde Athumani :
mungu amfanyie wepesi amiin
2026-06-21 19:46:34
0
marypari2
mary :
mhmhm
2026-06-21 15:22:22
1
masarakway
masarakway :
Baba wa wa saniii mungu ampe afya njema aendelee kuimarika
2026-06-21 18:29:50
1
ramarrao2024
ramarrao2024 :
Allah akupe shifaa
2026-06-21 19:36:49
0
ramadhani.kirungi
Ramadhani Kirungi :
alikuwa mzima Jana Allah atupe mwisho mwemaaaa 🙏🙏
2026-06-21 19:25:15
0
user5377431608554
user5377431608554 :
Tahfif Yaraby kwa mkubwa
2026-06-21 15:00:17
1
user1603271377142
Masaptasapta :
Allah akupe tahfif ya haraka lnsha Allah mapito tu hayoo
2026-06-21 14:53:43
1
bibianayona
Bugatti 369 :
Alhamdullah Alhamdullah Alhamdullah Alhamdullah Alhamdullah Alhamdullah Alhamdullah
2026-06-21 16:33:09
0
rehemamkwawa79
Rehema mkwawa3 :
Mungu akuponye Amina lshallah 🙏🙏
2026-06-21 16:35:01
0
ammu.nangay
Ammu Nangay :
Mkubwa Fela Mungu akujaalie saana uimarike
2026-06-21 17:10:18
0
kelvinkevo072
kevo :
Mungu akuponye Baba
2026-06-21 16:42:28
0
abdi.bilali
Abdi Bilali :
Allah ampe shifaa mkubwa Fella na amuongize katika njia sahihi insha'Allah
2026-06-21 18:30:49
0
pendobaby02
pendo baby :
jaman dah maisha haya inshaalllah upate nafuu
2026-06-21 20:00:39
0
directorkenny4
director Kenny tz :
sharifu majiniiii
2026-06-21 17:40:33
0
_shania_25
shania🌹 :
Ameen🤲🏻😭
2026-06-21 19:36:55
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About