Kaka, tatizo letu VIONGOZI hawaheshimu wataalam. Pia tumewaachia WANASIASA hatma ya maisha yetu. Na wanasiasa wengi kwa sasa hawako vizuri kitaaluma.
2026-06-21 14:21:48
10
KIHANGE THE GREAT :
tatizo democrasia
2026-06-22 01:31:28
2
blacklives :
unajua bro i see you very far
2026-06-22 19:18:30
0
Haji Mabata :
nakuelewa sana mkuu
2026-06-22 15:56:40
0
Philimon Bakweli :
huwezi kupata laiki kwakusema ukweli
2026-06-22 16:54:43
0
karim :
wewe siasa inalipa wewe
2026-06-22 09:35:28
0
Hafidh Salim :
sahh
2026-06-22 00:29:03
0
nyooooo054 :
sisi huku watu wanapenda vyama kuliko nchi
2026-06-21 15:25:17
6
sarim kafeni :
nikweribro Sasa serkar yetuijifunze kuptiaswarahir
2026-06-22 03:31:48
0
Azam :
Tatizo sio kusoma tatizo ni mfumo wetu wa Elimu brother , tunashida sana kusoma yasio na tija kwenye Industry za maendeleo , pia theory ni nyingi Sana sana hapa ndipo tunapo chimba umasikini
2026-06-22 04:40:00
0
Mwl. Riziki Mtui :
ukweli mchungu
2026-06-22 09:18:38
0
C.E.O 💞❣️💥 :
😁😁😁
2026-06-21 16:00:29
1
shakajr :
😳😳😳
2026-06-21 18:45:54
1
alfahaf 🥀😉 :
🔥🔥
2026-06-21 17:46:02
1
To see more videos from user @mcshondelive, please go to the Tikwm
homepage.