@khalifa.said4: kodi ni mbinu iliyobuniwa kuwatapeli wananchi, kutoa pesa kutoka kwa wale wanaozitolea jasho na kuziweka mifukoni mwa wale waliopo madarakani!

khalifa said
khalifa said
Open In TikTok:
Region: BE
Sunday 21 June 2026 13:44:04 GMT
12157
854
46
33

Music

Download

Comments

thanibright
THANI BRiGHT :
Assalam Alaikum. Alhabib nakusikiliza tu basi napata khofu. Sitaki upate tatizo akhui kwani ukitanguliza ukweli ujiandae na hatari. Allah AKUHIFADHI
2026-06-22 07:48:19
13
alifurniture12
Alifurniture :
ukweli mtupu unaongea
2026-06-21 15:00:23
14
othuman.omari5
Simeon mogravic 🪖🪓 :
uko Sahihi full like
2026-06-22 06:57:57
6
ismailwazirisumai
ismailwazirisumai :
big up broo akili kubwa
2026-06-22 06:23:40
9
defrostxl
Defrost :
Hii tafakuri kubwa sana
2026-06-22 16:57:30
1
rooneykiwelu167
Rooney Kiwelu :
mr fact thanks🥰
2026-06-22 07:18:20
6
user6173588462303
FIT_AND_FANCY_SHOES_STORE :
ALLAH AKUHIFADHI 🙏
2026-06-22 12:33:34
2
darmesh.muhamba
Darmesh Muhamba :
hapa Allah peke yake atunusuru🙏🏽
2026-06-21 23:16:56
7
carmello20252
Mick omel :
Atari sana 💯 pc
2026-06-22 10:50:18
2
kasunatz
ᴋaꜱᴜɴᴀ :
ukweli brother
2026-06-21 14:44:13
8
mpemba.mdigo
ABUU SAAD :
watawala sio viongoziii🤝
2026-06-21 20:48:42
5
user2504905005427
user2504905005427 :
kijana mashallah mollah akuhifadhi
2026-06-22 13:19:21
0
notificatio68
Binrashid :
Broo una madini nakufollow 🫡
2026-06-22 14:28:08
1
gervace_swai1225
No_Body. :
sauti hii niya ukombozi
2026-06-21 14:20:28
8
boazjd4
BoazJD :
unahitaji shulebya kadi. unachanganya mambo! Tax Vs Corruption Vs Govt efficiency.
2026-06-22 04:42:43
3
fdyraff
iFady.com :
true story
2026-06-22 08:04:55
1
vaps49
vaps49 :
Unahoja za msingi
2026-06-22 06:07:05
2
mzeet96
user26425732269 :
Taarifa Mheshimiwa 🤚🏾🤚🏾
2026-06-22 06:35:37
2
officialjezzy.mar
officialJezzy Marley :
fact bro 💯💯💯 mm nilisha waza kitu hiki bro kwa mfano mm na wezangu watu tukakubaliana kuchanga elf 50 kwajili ya kila mmoja wetu kupat nyumba after miak mitano sas tukachang na tukajeng nyumba tuka mkabidhi mmoja wet je ni saw yule tulie mpa nyumba aendelee kulipa Ile elf 50 na Kodi ya nyumba tulio mpa kwa pesa zake mwenyewe hap ndio nilipo chok na Leo nakusikia bro unaongelea hili I like it
2026-06-22 06:04:49
2
zamani231294
zamani🧔 :
Akili kubwa
2026-06-22 04:21:11
3
joventjohansenmushwaimi
Jovent Mugisha Mushwaimi :
Huna baya kabisaa
2026-06-22 05:10:07
2
mpemba_agent
mpemba-agents :
nilienda hospital kumpeleka mdogo wangu 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
2026-06-22 04:31:29
2
user4632191049555
anchwi chwi :
kwer kabsa
2026-06-21 23:53:00
3
ralph_x7
ralph_i♍ :
Very interesting topic. Hii inahitaji Mdahalo kabisa. Kwa sababu tumefika hapa kwa sababu kodi zimekuwa zikitumika kinyume na dhumuni la uwepo wa kodi. Lakini, endapo ufanisi katika utilisation ikiwa nzuri, na muundo mzuri basi kodi ni kitu kizuri sana. Maoni yangu lakini, 😁😁
2026-06-21 17:56:06
4
To see more videos from user @khalifa.said4, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About