@millardayo_: Unajuaje mtu ni mtu wako wa karibu ? 😃😅@frida amani

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 21 June 2026 15:14:23 GMT
136454
11786
159
801

Music

Download

Comments

winnieimmah158
winnieimmah :
mtu wangu wa karibu Nimemuomba anisaidie nilipe rent saivi hajibu Msg😩😂
2026-06-21 15:59:58
42
phina_beautysalon
PHINA BEAUTY :
Kama ninyi mlivyo watu wa karibu 😂🙌
2026-06-21 20:11:35
26
rtx4060_ti
RTX4060🇹🇿 :
first comment 🔥🔥🔥
2026-06-21 15:17:55
12
sweet.pain455
Sweet Pain❤️‍🩹 :
mtu wangu wa karibu hanipigii na mm simpigii ila ghafla kalipa ada ya mtoto wng maana wanasoma shule moja mwanae... grocery shopping anatumwa boda... and I do the same japo tumetofautiana kipato.
2026-06-21 17:04:36
18
mrmrs_kitesa
KITESA FAM❤️🦋 :
maswali ya frida😁😁
2026-06-21 15:17:59
16
felly.ster1
Felly Ster :
Mtu wako wa karibu ana mtu wake wa karibu
2026-06-22 03:55:56
2
madamelavia1
madamelavia1 :
Mtu wa karibu ni Yule ambae ukipata Jambo lako iwe shida ama raha ni wakwanza kumfikiria
2026-06-22 15:39:08
3
amy.gal01
amy gal🌹 :
chat gpt ndo mtu wa karbu😂
2026-06-22 18:12:51
1
winniewilliam0
Winnie WILLIAM :
mtu wa karibu anawafahamu ndugu zako 🥰
2026-06-22 11:20:12
3
user78480612800977
lipi ibrahim :
nimecheka hapo kwenye kubadilisha sauti ya umbea, mimi mtu wangu wakaribu kigezo changu asiwe mmbeya nikimwambia jambo langu abakinalo asiseme kwa wengine
2026-06-21 20:52:57
5
official.nkome
NKOME :
SINA MTU WA KARIBU
2026-06-21 19:55:22
6
khadriz.ramz
khadriz ramz :
nawakubali sana
2026-06-21 17:49:35
4
loveness.eliasaph
miss venerandus :
😂😂😂Fam
2026-06-21 22:25:09
1
user9820099273835
grace macha :
Mtu wangu wa karibu anakukimbilia ukipatwa na shida na pia hakusemi kwa watu.
2026-06-22 09:09:59
2
ikran__255
it'sikran🦄🧿 🇹🇿🇱🇷 :
aijalushi ni ukaribu gan tunao u'll never know who im dating😂
2026-06-21 19:50:56
3
hussein.gundogn.s
Hussein Gundog@n Sogora :
mtu wa karibu lazima mmoja alipe naul ya wotee any time
2026-06-22 14:01:58
1
gwamakamwangwembe
gwamaka mwangwembe :
noma sana
2026-06-21 15:58:37
3
zizuzidu1
zizu$zidu :
asee
2026-06-21 17:07:39
2
twister.tips.tv
TWISTER TIPS TV :
mtu wa karibu atakuwa karibu
2026-06-21 18:25:58
3
muuzakorosho
Muuzakorosho :
Mi nnachoona deep deep mnapendana nyie fr
2026-06-21 19:55:44
2
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About