elewa neno hao masikini mimi sipo kwenye hiyo list 😂😂😂😂 dah 🥹
2026-06-22 07:14:06
213
nai faras🐎 :
kwaiyo ww sio masikini
2026-06-22 03:36:16
79
Victoria :
I'm in agreement.. i buy 2 months stock and that helps me to save alot of money. another thing avoid taking your kids to expensive schools. make sure your one month salary or two moths can clear a whole year's school fees
2026-06-22 09:11:14
37
Joy w Assey. 🇹🇿🇪🇸 :
sorry ivi kuhemea nini
2026-06-22 10:00:57
21
said issa :
kaka abari mimi ni kijana wa miaka 23 natamani kufanya biashara lakini cjui nfanye biashara gani na mtaji wangu sio mkubwa nina mtaji wa milioni 1 tu kwaiyo naomba unishauri
2026-06-21 18:57:17
40
user6130550916505 :
well said 🤝🏽 umaridadi huficha umasikini😊
2026-06-21 18:58:02
27
Idda Mfinanga :
Aisee! 💯
2026-06-21 18:39:55
7
LAAZIZI STORE MWANZA :
Ni kwelii 💪
2026-06-21 18:18:02
9
menoboratz1 :
Hakika 🥰🥰🥰
2026-06-21 18:13:41
9
Lyimo :
Nimependa hao masikini sio mimi maskini 🤝
2026-06-21 22:08:31
7
Bayser :
Hii idea mzee wang amekuaakinizoesha kwa kitendo now nipart of life
2026-06-22 10:41:24
16
pink lady3 :
Ata nikijipata siwez kwenda super market wakati,, Temeke sterio kupo☺️
2026-06-25 07:25:35
7
latifa d :
vipodozi
2026-06-22 06:07:40
6
Bint chiccotz1🇹🇿 :
Najifunza zaidi kupitia wewe 🙏🙏
2026-06-22 10:33:54
5
LEO TENA _USED OFFA :
Mimi pia sipo katika hio list katika jina kuu la MUNGU🙏
2026-06-22 08:14:37
11
Mis nasra :
Kabisaaa
2026-06-21 18:10:47
9
Mwili Mwepesi |Punguza Kitambi :
Huu ushauri wa kununua vitu kwa jumla tangu niufanyie kazi umenisaidia sana hadi nimeweza kuwekeza big up bro .Asante sana