bola tulivy kimbia bro kwa mpra ule simba ange tudharirisha
2026-06-21 15:58:19
357
nicko d :
kichwa cha habari kiko ivi
YANGA WAIKIMBIA SIMBA 😅😅😂🤣🤣
2026-06-21 18:39:55
195
NADHALETY :
wapambaniee
2026-06-21 17:14:00
2
mr Machako tz :
bola tumefungwa na azm tungefungwa na simba tungezaririka san
2026-06-21 16:11:55
117
MJENZI JR :
yangaa yamkimbia simba
2026-06-21 16:29:49
92
Stopa 45 :
Team baba anjera 10'10 chap chap
2026-06-21 17:34:50
27
prince E🇹🇿 :
10/10🥰🥰🥰
2026-06-21 16:47:58
7
New HB :
Waseme Yanga yaikimbia SIMBA
2026-06-21 16:05:40
42
Kisanduku tz :
Kichwa habari yanga amkimbia simba
2026-06-21 20:13:15
29
Minza💦❤️ ACTRESS :
simba oyeeeeee
2026-06-21 16:58:20
14
TonySilver09 :
😂😂Watu kumi wavamiwa na wauzaicecream
2026-06-21 16:00:02
10
mama g :
simba bingwa
2026-06-21 16:53:23
12
+𝟚𝟝𝟝🇹🇿 :
30/30 saiv🔥
2026-06-21 15:53:11
8
Bleex💢 :
kichwa Cha habari
YANGA YAWEZA KUIKIMBIA
SIMBA.
2026-06-21 17:03:58
8
paschal mabula zagayu28@ :
Yanga a acha ndala
2026-06-21 20:05:09
2
kala boy :
me unaniuzi
2026-06-21 16:09:26
2
happy antony :
hahahahahahaaaaaaaaaaa
2026-06-21 19:21:52
1
Urr@ss@ :
appreciate you br
2026-06-21 19:26:03
1
official faah 💯💯 :
daah naipenda yanga hata iwejeeee🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-21 16:49:33
23
@broken soul💔 :
uzuri sauti ya mtu anaetaka kulia tunaijua😂😂😂😂😂
2026-06-21 17:49:31
17
jobjob :
yanga washikwa bega na azam
2026-06-21 16:34:17
6
Evance jr :
welcome simba feisal ❤️
2026-06-21 16:24:54
8
🤍she_is_dee🌹 :
unakitu mtu wng😁💛💚
2026-06-21 16:13:03
10
japhenll :
wasafi fm watawapa kichwa kesho
2026-06-21 16:15:44
7
@ziddy eone :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema
2026-06-21 15:55:25
14
To see more videos from user @baba_anjella, please go to the Tikwm
homepage.