@iycsigntv: Maswali saba mwanaume atakagi kuulizwa kwenye mausiano Muusika: sheee 📺 iycsigntv ✍️ iycsigntv Welcome to the iycsigntv youtube iycsigntv promotions dm and more
yaan nilichojifunza saiv ni kuwa wanaume tayar wamekuwa wakihis lazima Wanawake ndo apike wanamke ndo asafishe yaan imekuwa ndo mbeba nyumba
wakat wanaume ndo kazi zao.
ila sisi tunafanya kwa msaada tuu🥺
2026-06-22 09:28:01
1
Khadija :
Mnapenda kwenda kwa mashangazi utaulizwa uko wapi mkipenda usipende
2026-06-21 18:46:38
1
lista Jackson :
True kbs maana jana namuuliza mtu umefika wapi ajajibu na wakati alikuwa safari cha ajabu badae namuona mlangoni hii ni kweli shekhe
2026-06-22 06:02:27
0
jasminjaph262 :
we unagubu mwanaume anaulizw anahitaji NN
2026-06-22 09:26:55
0
Zuhura Omary :
we sheikh ww
2026-06-22 09:58:05
0
Ahmed daddy :
hu
hilo swal la kwanza akikuuliza utahic lbd anajambo lake anata kufanya yaan anataka kujuwa km upo mbali au laa ili lake lifanyike
2026-06-22 01:06:25
0
Mamu ❤️🌹 :
me ni mwanamke ila sipend niulizwe nipo wap
2026-06-22 11:45:19
0
To see more videos from user @iycsigntv, please go to the Tikwm
homepage.