@mtoto_wa_maria: Wakati mwingine, shukrani ni silaha kubwa kuliko maombi unayosali kila siku. Maana unaposhukuru, unaonyesha imani yako kwa Mungu kwamba yale uliyonayo tayari ni baraka, na yale unayoyahitaji yapo njiani kutokea. Kwahiyo kuna nguvu kubwa sana katika neno, kwani shukrani hubadilisha maumivu kuwa somo, huzuni kuwa furaha na wasiwasi kuwa tumaini. Ni lugha ya moyo inayomfikia Mungu haraka kuliko maneno mengi, kwa sababu Mungu humpenda mtu anayeshukuru. Leo naomba umwambie Mungu asante kwa yote unayopitia, hata kama hali yako ya uchumi ni mgumu kiasi gani au ugonjwa unakutesa, ndoa inakuchanganya, masomo hayapandi, ndugu wanakunyanyapaa na wale uliowategemea wamekuacha. Ila bado Mungu yupo na wewe, kwa kuwa una afya njema na unapumua, hiyo ni ishara tosha kuwa Wewe ni wa thamani sana mbele ya Mungu. Sasa kwanini unajidharau na kukata tamaa? Chukua dakika hii moja mwambie Mungu asante, Kwa sababu ndani ya neno hili la shukrani, kuna mlango wa miujiza. Maana asante ni kuomba tena ✨🙏 #furahatemba #gratitude #thanksgodforeverything #tanzaniacatholic #fyp
Furaha Temba
Region: TZ
Sunday 21 June 2026 20:56:23 GMT
Music
Download
Comments
Beatz♥️ :
Asante mungu🙏
2026-06-22 08:47:39
1
TD :
amen 🙏🙏🙏🥰
2026-06-22 08:52:26
0
julianamussa :
Asante mungu
2026-06-22 13:14:34
0
Calister Lawisso :
Amina
2026-06-22 12:42:18
0
Fransika Lwambiko :
Asante Mungu
2026-06-22 00:44:25
0
mosesogutu :
Amen
2026-06-22 08:36:58
0
sarum konde jr :
amin
2026-06-22 10:28:41
0
Elizabeth dickson :
Asante mungu🙏🙏
2026-06-22 11:59:45
0
Glaudensia Matteo :
amina
2026-06-22 11:45:35
0
cute brev :
ahsante mungu🙏🙏🙏🙏
2026-06-22 06:15:21
0
moyo wenye uzuni🥺Didas :
Asate bab
2026-06-22 04:44:59
0
filomena mlelwa :
Asante mungu
2026-06-22 10:57:38
0
jeorge :
amina
2026-06-22 06:27:01
0
fidluck livigha :
Asante mungu
2026-06-21 22:54:28
0
Christina Saimoni :
ameen
2026-06-22 09:43:44
0
janeth kimalio :
asante mungu🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-06-22 10:07:04
0
grace enock :
Asante Mungu
2026-06-22 09:46:20
0
user3757500390131 :
Asante Mngu baba mtakatifu wa mbinguni kwa pumzi yako unayotupa na kila kitu ktk maisha yetu
2026-06-22 09:24:08
0
MR. Diyo :
Amen 🙏
2026-06-22 07:27:27
0
rose :
Amina
2026-06-22 11:13:02
0
mjumbe :
amen
2026-06-22 13:37:49
0
elizabethmwingir8 :
asante mungu wa mbinguni🥰
2026-06-22 12:46:50
0
❤🦋Angel wa min❤🦋 :
🙏🙏
2026-06-22 08:47:39
0
Divine divine 🇨🇩 :
🥰🥰🥰
2026-06-22 03:25:35
0
🕊🌹silent Pure by A.I 🕊🌹 :
🙏🕊🕊
2026-06-21 21:16:26
0
To see more videos from user @mtoto_wa_maria, please go to the Tikwm
homepage.