@radiomariatanzania: IENDE MBELE INJILI – DAR ES SALAAM Karibu kutafakari wimbo wa “Iende Mbele Injili” ulioimbwa katika Tamasha la Mkatoliki 'Mkatoliki Concert 2026' katika Ukumbi wa Ubungo Plaza Kwaya ya Mtakatifu Secilia ya Parokia ya Mwenyeheri Anuarite - Makuburi Jimbo Kuu la Dar es Salaam. . . . Endelea kuisikiliza Radio Maria Tanzania popote ulipo‐: Dar es Salaam 103.7 FM, Unguja 103.7 FM, Morogoro 103.9 FM, Tanga 104.1 FM, Pemba 104.1 FM, Ifakara 104.7 FM, Mahenge 104.7 FM Mafia 103.7 MF . www.radiomaria.co.tz #Miaka30yaRadiomariaTz #uinjilishajiupendonafaraja #Nambayakampuni100200