@muhammadfacky: HATUA ZA KUFANYA TRANSFER YA KIWANJA AU NYUMBA. KWA USAIDIZI NITUMIE MESEJI WHATSAPP KUPITIA 0712587138. #creatorsearchinsights #BusinessTips #LegalProtection #ardhi #Entrepreneurship
Kama kiwanja hakina hati nimenunua lakini kimepimwa, na mkataba wa kisheria ninao na tamani ya upimaji je naweza kupata hati bila kufanya transfer ya jina langu maana ake kitafanyiwa transfer wakati nafatilia hati yangu, ili kuokoa Gharama.
2026-07-12 04:38:04
1
Mndareto Generation :
nna kiwanja Dodoma. nlienda TRA nikapewa Tax clearance niliporudi Jiji wakasema nilipe Stamp Duty tena. maana mfumo unaotumika hautambui stamp duty ya TRA ikabidi nilipe tena
2026-07-12 17:48:05
0
Abel spare parts +255767676854 :
ishu bro nikwamba hayo yote kwamda Gani ingekua ni hapo kwahapo hataiyo migogoro isingetokea
2026-07-03 18:05:22
0
MaryLukinda :
Je shamba?
2026-07-13 17:17:51
0
decory2016 b :
Nitakutafuta
2026-07-02 17:47:49
3
To see more videos from user @muhammadfacky, please go to the Tikwm
homepage.