@mwl.emilian.katub7: Zaburi 118:25 Ee BWANA, utuokoe, twakusihi; Ee BWANA, utufanikishe, twakusihi. Nimekuombea wiki hii mambo haya mawili katika jina la Yesu Bwana akuokoe na kila jambo lolote baya ambalo limepengwa katika ulimwengu wa roho kinyume na kusudi la Mungu Lakini pia Nimekuombea wiki hii Mungu akufanikishe katika jina la Yesu, lolote utakalo lifanya, lolote utakalo shika kwa mikono yako Bwana alifanikishe katika jina la Yesu

Mwl Emilian Katubayemo
Mwl Emilian Katubayemo
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 22 June 2026 04:36:48 GMT
91229
14260
3185
684

Music

Download

Comments

001nitoria
JENETHO :
ee bwana uniokoe unifanikishe uniokoe na vikao vya siri vikashindwe kwa jina lako yesu
2026-06-22 05:27:48
146
faith.medza3
Faith Medza :
Amen .... Eeh Bwana naomba uniokoe na unifanikishe Nakusihi
2026-06-22 05:24:38
49
alexkaptali
Alex kaptali :
amen amen and amen 🙏
2026-06-24 07:20:20
0
beatric80
user7278521359122 :
Ee Bwana Uniokoe nakusihi,Ee Bwana unifanikishe katika mipango yangu( dissertation report writing) ,uchumi wangu ( gari langu likapate kazi nipate hela ya kupeleka wageni mbugani illi nipate hela ya ada) Mungu uwafanikishe watoto wangu
2026-06-22 06:29:42
17
princes.flory
princes flory🤍 :
Ee bwana naomba uniokea na kunifanikisha Kama unaamin wiki hii mungu atafungua Milango yote iliyofungwa na adui na baraka za bwana ziwe juu yetu zaburi :118:25
2026-06-22 04:43:26
15
user176306518374
The winner🙏 :
Ameen kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth 🙏🙏🤲
2026-06-22 17:29:10
13
ampark6
official ParkTZ :
ee bwana uniokoe Mimi na familia Yangu na kusihi amen
2026-06-22 19:05:00
6
salomedeus07
salome deus :
Ee bwana uniokoe nakusii
2026-06-22 07:00:00
14
user1837815083946
user1837815083946 :
Jesus Christ Niokowe baba
2026-06-24 04:12:26
0
its.cetie
its cetie :
: ee bwana uniokoe unifanikishe uniokoe na vikao vya siri vikashindwe kwa jina lako yesu
2026-06-22 07:00:19
3
mamycynthia
Mamy Cynthia :
Ee Bwana uniokoe nakusihi eee Bwana unifanikishe nakusihi katika Jina la Yesu Kristo🙏
2026-06-22 05:57:07
7
angelchristine55
angelchristine55 :
Ee bwana uniokowe na kusihii
2026-06-22 05:48:25
1
user56917861206868
Anitha mbogoye :
Mungu aniokoe na roho za mauti
2026-06-23 05:18:09
1
gilo3198
gilo :
Eee Bwana uniokoe nakusihi,Ee bwana utufanikishe 🙏🙏🙏
2026-06-22 05:49:58
1
esther.immacul
Esther Immaculé@ :
Eeeh bwana uni okowe nakusii eeeh bwana uni fanyikishe nakusi🙏
2026-06-22 06:08:36
1
neema.semanin
NEEMA SEMANIN :
Amina baba
2026-06-22 06:08:41
1
cazzy613
cazzy613 :
Amen 🙏🙏🙏🙏 yes 🙏🙏🙏
2026-06-24 03:10:23
0
caroline.gakii20
Caroline Gakii :
In JESUS name Amen
2026-06-23 19:37:24
0
maryboaz5
M”a”r”y & b”o”a”z :
Ee Bwana uniokoe nakusih Ee b Bwana unifanikishe nakusih
2026-06-22 06:08:56
1
sarah.mfoy0
Sarah Mfoy :
Ehee Bwana naomba Uniokoe nakusihii unifanikishe nakusihi
2026-06-22 06:06:28
1
user2788734556142
[email protected] :
Ee Bwana uniokoe nakusihi ee Bwana unifanikishe nakusihi ni katika jina la Yesu Ameeen
2026-06-22 07:02:00
2
user9557634529538
Queen 👸 🥰 :
AMEN 🙏 EE BWANA UTUOKOE NA UTUFANIKISHE NAKUSIHI❤️
2026-06-22 05:55:05
1
joyce.mwazembe
Joyce Mwazembe :
eee bwana uniokoe.na sii ebwana twakusiii Amina mtumishi
2026-06-22 05:56:00
1
evestylish
Evestylish :
Eeee bwana uniokoe na kusiihi eee bwana unifanikishe na kusihi🙏🙏🙏🙏
2026-06-22 06:01:55
1
jeanne.kalala
Jeanne ntumba :
amen
2026-06-22 06:50:26
1
To see more videos from user @mwl.emilian.katub7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About