@gideon_kulawa: UTALIZWA NA USHUHUDA HUU, ALITESWA SANA NA BIBI YAKE MPAKA AMEKATAA KUMSAMEHE | Askofu Gwajima

Gideon Kulawa
Gideon Kulawa
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 22 June 2026 04:47:37 GMT
134125
6555
363
792

Music

Download

Comments

elice.mmbaga1
Elice Mmbaga :
Mungu wambinguni ninakuomba unilindie watoto wangukila waingiapo nawatokapo🙏
2026-06-22 17:41:51
90
mamadorcas6
mama dorcas :
Mungu funika watoto wangu
2026-06-22 18:59:32
20
its.mimah28
Real~mimah🌸✨ :
Cjui kwann siamin🥹🙌
2026-06-23 13:36:09
25
maximum123478
Quite2010 :
ee Mungu nilindie yule mwanangu
2026-06-22 19:11:53
19
esther27132
estzy girl💞 :
😭😭😭😭 kikweli inaumiza me ad Leo bado nateswa na bib yangu mzma baba na suluhisho sijui na sipat ufahamu wa kutatua tatizo
2026-08-05 20:45:13
0
w.w.w.tiktok.tz.mary
marience :
Ee mwenyezi Mungu bariki uzao.wangu pamoja na.huyu anaye Angalia video hii
2026-07-02 11:02:08
16
solder0464
Soldiel :
yesu atukuzwe matendo yake mkuu
2026-06-22 11:38:31
11
user2522259592377
grace :
mungu akusaidie mdogo Wangu tena huyo Bibi ashindwe kwa jina la yesu
2026-06-28 09:16:27
21
zawadi.bahati54
Bahati :
amen
2026-06-22 08:16:36
5
leah.mange
Leah mange :
MUNGU nlindie mwanangu nauzao wangu kla iitwayo Leo 🙏🙏
2026-06-24 05:01:52
8
furahawilliam68
beautiful Charu :
eheer mwenywezi mungu tunakukabudhi wototo wote mkononi mwako
2026-06-23 15:20:09
9
user4212614588534
bint msekena💕 :
duuh inauma mpk nimelia😭😭😭😭😭
2026-06-22 19:00:10
10
elizabethgomeshi
elzabeth gomesh :
Eee mung! naomba uwasaidie sn ndug zetu wailitangulia mbele zawachaw
2026-07-23 22:48:30
1
veronicanyambasa3
veronica 💕💕💕💕 :
mungu nilindie uzao wangu
2026-07-29 22:54:56
1
donard.mwambinga
Donard Mwambinga :
kama kunawatu hawaamin, mim naamin kwasabab yalinikuta, mungu nakuomba mlinde huyu mtoto.
2026-07-20 10:41:58
8
msukuma.msukuma2
ELIASI MATHAYO :
pole sana mdogo wangu mungu awe nawe
2026-06-23 05:55:14
6
timanange7
TINAH💞🎋🧎‍♀️@10 :
mungu mtie guvu huyu mtot akawe shuhuda na akasimame katika neno lako🙏
2026-06-26 19:05:56
7
user8622627822adel
Adelina Aman 🤩 :
Dah had nimelia😭😭 mungu Tusaidie saaaaaan
2026-06-26 18:05:44
6
mammkal
Mama mkali👊🫰💪 :
yesu amekuponya
2026-07-16 04:00:42
4
user8682945496751
neysiah :
na mama ake yupo wap jmn dah pole bint ang jmn
2026-07-22 07:09:19
2
the.lady183
The lady :
ee Mungu nilindie mwanangu
2026-08-04 12:46:04
1
agiana96
Agiana :
eeeh mungu naomba uwadhibu wote wanaomtesa mama angu na familia yang yote😭😭😭
2026-07-23 08:52:29
1
orapronobis45
The baba kidato :
maskin inauma sana🥺🥺🥺🥺🥺🥺 yesu kristo tumsaidie
2026-07-21 08:17:16
3
pamolove7
pamolove :
Eee mungu wangu wa mbinguni naomba nilindie mwanangu
2026-07-21 19:23:03
2
fasumaiya.albin
FaSumaiya Albin :
😭😭😭😭😭😭😭😭😭mungu mwem polee ssn mdog wangu
2026-07-18 20:57:18
4
To see more videos from user @gideon_kulawa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About