@user8154914570672: Binti aitwae Bizati Abas Salumu, (10) Mkazi wa Mtaa wa Pachoto A Kata ya Naliendele Manispaa ya Mtwara Mikindani, amepotea yaani haijulikani alipo tangu Siku ya June 13, 2026 baada ya kutumwa na Bibi yake aende akauze Maandazi. Tangu Binti huyo Mdogo anayesoma Darasa la tatu katika Shule ya Msingi Naliendele apotee, tayari zimepita siku 8, Faida Online TV tumefika Nyumbani alipokuwa anaishi Mtoto huyo na kuzungumza na Babu na Bibi yake ambao wamesema Watu wanawatuhumu kuwa Mtoto huyo wamempoteza wenyewe kwa lengo la kumfanya Msukule (Ndondocha). #FaidaOnlinetvUPDATES
Muombeni sana Mungu kila mkikaa someni Hasbhunallah Wanii'maal Wakiily amkeni usiku msali msome sana in sha Allah kwa idhini ya Allah atapatikana msimshirikishe Mungu muombeni sana
2026-06-22 12:02:04
17
swam💞💕💦 :
usilie pole mama
2026-06-22 10:38:18
2
miss p🎊 :
polemama
2026-06-22 22:13:08
0
habint :
Duh Ila mtwara yetu 🙌🙌
2026-06-22 06:54:29
6
pilikhamis0 :
pole sana mama mungu atafanya wepesi inshaalah
2026-06-22 10:05:59
5
khadija :
kwani makelele yanasaidia nani?
2026-06-22 17:40:25
0
user2171183542766 :
mungu awafanyie wepesi
2026-06-22 17:34:23
1
%🌹🌹Baby face%🌹🌹 :
mie nakuelewa sana wewe mama Allah akutie nguvu na akupe subra
2026-06-22 16:14:25
1
Tuvamo :
Mungu aingilie kati, kuzaa kuna uma jamani
2026-06-22 11:41:51
4
Salma Omary :
pole Sana mama
2026-06-22 10:18:42
2
Stellah🤩🤩 :
polen sana MUNGU afanye wepes
2026-06-22 11:39:12
2
@CHOZI OG :
toen mzik
2026-06-22 18:20:27
0
Tinah outfit :
Mungu awafanyie wepes a pati Kane akiwa na Afya njema katka jina la Yesu
2026-06-22 11:32:59
1
GEORGE🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
pole mama mungu ndiye akimu si binadamu
2026-06-22 18:54:12
0
Rosena Mumwi :
pole sana mama mngu akutienguvu
2026-06-22 06:56:30
1
19_fahama :
elimu,elimu,elimu ,elimu muhimu jamaa 🙏
2026-06-22 17:45:46
0
bahati likanga :
dh pole sana mungu awatie nguvu wazazi wote Amina 🙏🙏🙏🙏
2026-06-22 06:19:49
1
castorinanachihan :
pore san mama angu, mungu awafnyie wepes
2026-06-22 06:55:29
1
user2839169772623 :
pole sana
2026-06-22 16:18:26
0
Asha💕😘 :
pole sana bibi
2026-06-22 15:59:52
0
AISHA ALLY :
sasa ayo makelele ni ya nini
2026-06-22 16:36:26
0
mirfaty06 :
poleni sana
2026-06-22 16:24:53
0
habib kg :
pole saana
2026-06-22 18:02:50
0
Mwajuma Omari :
Pole sanaa utampata mungu n mkubwa 🙏
2026-06-22 16:58:17
0
Rahma Ally 2610 :
pole sana jamani
2026-06-22 06:26:34
0
To see more videos from user @user8154914570672, please go to the Tikwm
homepage.