@nyayotv: Baada ya ugomvi wa mda mrefu na kuzozana kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kupeana talaka kati ya Shamsaford na mlilo, hatimae jb jerusalem films ameliingulia kati na kutatua mgogoro huo ili mambo yaende vizuri. Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram JB aliandika maneno yafuatayo ..👇 "Kilikuwa kikao kizito sana lakini namshukuru Mungu wote mmenisikiliza. Haya wanangu mkaishi sasa kwa amani na upendo shamsaford na mlilotz" @Mnakole Emmanuel ✍️ Follow us 🙏 #fypシ゚viral #creatorsearchinsight #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya #fyp
Allah amjaalie mke wa jb apate watoto mapacha mwanamke na mwanamme inshallah 🥰🥰
2026-06-22 07:16:44
169
💝kabado🥰 :
hiyo ndo maanaq ya utuzima dawa tuna shukur sna jb 🥰🥰
2026-06-22 07:25:40
92
FARAJA NNKO :
Ndo maana ya Utu uzima. big up brother JB
2026-06-22 08:53:12
2
chaurt0007 :
JB Allah akuongoze inxhaaallah ❤️
2026-06-22 06:50:18
94
user5249981821245 :
huyu ndio baba Sasa Mungu akubariki sana baba uishimiakamingi amen
2026-06-22 07:19:05
34
Hashab🕋 :
Masha'Allah huyu mzee wabusara sana ndio maana ana fanafana na Mumewangu Kila kitu
2026-06-22 09:12:05
7
madame d :
napenda kuona watu wako sawa
2026-06-22 07:16:15
21
mwasitiased :
asante kaka wa taifa j b.mungu akubaliki sana kwa busara zako ...
2026-06-22 09:42:13
10
Mndewa :
Broo JB hongera sana kwa ulichofanya.
Na hapa umeonyesha ukomavu wako...
2026-06-22 08:48:15
9
Sarah Nyeriga :
Hongera JB kwa hekima 🙏
2026-06-22 07:52:14
14
Halima Makagula :
mungu akubariki sn JB umesimama kama baba una kiti chako mbinguni ......
2026-06-22 09:40:39
5
Bibi dastan :
safi sana Jeb kwa suruhisho ilo mungu azidi kukuongoza safi sana
2026-06-22 08:15:05
11
Laila Chum :
ukubwa jaaa, umesimam km mzazi, hongera zako.
2026-06-22 07:06:45
8
vannylou🍁💸💪 :
respect to JB 🥰🥰🥰
2026-06-22 07:23:13
2
Joyce Massawe :
Ukubwa Dawa Hongera sana JB Umeitendea haki Nafasi yako ya Ubaba Mlezi.
2026-06-22 07:30:01
9
@chuchurobby :
nimependa hiyo 🥰🥰🥰
2026-06-22 06:53:24
8
Nicetz :
jb ni baba wa taifa congratulation
2026-06-22 08:43:00
1
Happy Angel😇 :
Hongera sana job
2026-06-22 11:19:56
0
Esther' Nyilenda :
Mungu akutunze baba wa jopp zima la filamu tunakupenda sana jb❤️
2026-06-22 07:08:34
19
VEE COSMETICS :
Hongera sana JB Kwekele. Nimefurahi sana kuona mmepatana, kwani ukubwa ni dawa na amani ndiyo msingi wa familia yenye furaha. Pia namkusihi sana dada yangu Shamsa pamoja na mume wako, endapo kutatokea tofauti au migogoro, jaribuni kuwashirikisha wazee na viongozi wa familia ili kupata suluhu. Mambo ya kifamilia ni vyema yashughulikiwe kwa hekima na faragha, badala ya kuyaweka kwenye mitandao ya kijamii. Nyinyi ni wazazi, hivyo mna nafasi kubwa ya kuwa mfano mwema kwa watoto na jamii. Mwenyezi Mungu azidi kuwaleta pamoja katika upendo, amani na maelewano.”
2026-06-22 07:46:59
9
Rangi Girl💝 :
Daah Allah akulipe kwa hili
2026-06-22 09:57:28
2
Raudha Shaaban :
alla awabarikie ndoa ya iwe moja ya kuzidi kupendana
2026-06-22 09:28:07
1
Monica Mbapila :
hongera JB umeweza
2026-06-22 09:51:39
4
marimuabdallah :
nimependa
2026-06-22 07:55:10
1
user8726925157221 :
ongera sana baba jb mungu akubariki
2026-06-22 09:43:34
2
To see more videos from user @nyayotv, please go to the Tikwm
homepage.