@afya.na.calvin: 🚨 NGIRI (HERNIA) SI TATIZO LA KUPUUZIA! 🚨 Je, unapata uvimbe kwenye eneo la kinena, maumivu ya korodani, au tumbo kujaa gesi mara kwa mara? Hizi zinaweza kuwa dalili za Ngiri (Hernia). ⚠️ Dalili zinazoweza kuashiria ngiri: ✅ Kupiga mingurumo tumboni ✅ Tumbo kujaa gesi ✅ Uvimbe eneo la kinena au korodani ✅ Maumivu na kuvimba kwenye kende ✅ Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa 🩺 Usisubiri hali iwe mbaya zaidi! Uchunguzi na matibabu ya mapema yanaweza kusaidia kuzuia madhara makubwa. 📞 Wasiliana nasi sasa kwa ushauri na huduma zaidi: +255 753 928 587