@msfaah5: Sikiliza sauti hii kila siku Kwa idhini ya Allah, utapata utulivu wa moyo, utasahau mengi yanayokusumbua, na utajihisi kama mtu mpya. NB:📌Iwe sehemu ya ratiba yako ya kila siku kusikiliza au kusoma. Kadiri unavyoendelea, ndivyo utakavyozidi kuutambua na kuuelewa utukufu wa Allah 🤲