@msemajiwamagari: Kama unanunua gari lako la kwanza, jambo muhimu siyo muonekano pekee, bali uimara, upatikanaji wa spare, matumizi ya mafuta na urahisi wa matengenezo. Haya ndiyo magari ninayoyaona kuwa chaguo bora kwa wanaoanza maisha ya umiliki wa gari. 1. Toyota IST 1.5L (CC 1490) IST ni gari dogo lenye muonekano wa kisasa, matumizi mazuri ya mafuta na matengenezo nafuu. Linafaa kwa matumizi ya mjini na safari za kawaida. 2. Toyota Corolla Spacio 1.5L (CC 1490) Hili ni gari la familia lenye nafasi kubwa ya abiria na mizigo. Ni chaguo zuri kwa mtu anayetaka gari la matumizi ya kila siku bila gharama kubwa za uendeshaji. 3. Toyota Premio F 1.5L (CC 1490) Premio F huleta muonekano wa kifahari huku ikibaki kuwa ya kiuchumi. Inatoa comfort nzuri, safari tulivu na matumizi mazuri ya mafuta. 4. Toyota RAV4 1.8L Kwa wanaopenda SUV, RAV4 ni chaguo imara. Ina ground clearance nzuri, uimara mkubwa na uwezo wa kumudu barabara nyingi za Tanzania. 5. Toyota Raum 1.5L (CC 1490) Raum ni gari linalojulikana kwa nafasi kubwa ya ndani licha ya ukubwa wake mdogo. Milango yake ya sliding hufanya iwe rahisi kwa familia na matumizi ya kila siku. 6. Toyota C probox (1490cc) ni gari himilivu kwa mazingira magumu ambayo itakupa uhakika wa safari popote muda wowote. 7. Toyota Vitz RS Kwa wanaopenda muonekano wa sporty na matumizi mazuri ya mafuta, Vitz RS ni chaguo bora. Ni ndogo, rahisi kuendesha na inafaa sana kwa vijana. HUU NI MTAZAMO WANGU TU, wapo watu wanaanza na RANGE mwenye maamuzi ni wewe boss wangu🙏maneno yangu sio sheria🙏 📍Unaweza nunua kuanzia namba D,E, au mpya kwa maana haijatumika Tanzania. Hakikisha imekaguliwa vizuri kabla kufanya maamuzi yakununua. 📌Kwa msaada wowote kuhusu,magari,logistics na mifumo mbalimbali ya usimamizi wa biashara tafadhali tuwasiliane boss🙏🙏 #WatuWemaBadoWapo📞 #MsemajiWaMagari

Msemaji wa magari
Msemaji wa magari
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 22 June 2026 05:59:58 GMT
214372
2793
605
194

Music

Download

Comments

aljabry39
wahid123 :
hakuna gari nzr km ractis ina nafasi nzr ulaji wa mafuta ltrs 1 klo 20
2026-06-23 12:06:13
24
letika71
Lolo :
Ranx je cc 1490 inatembea umbali mrefu?
2026-06-25 05:23:38
1
nuruahsnat12
MamaG collections :
Nikilala naiota subaru forester one day yes 🙏🏼
2026-06-23 10:59:17
6
coachgaudence_mlelwa
Coach:Gaudence Godfrey Tz. :
What about PASSO SETTE
2026-06-24 17:23:36
1
director_wa_lori
Director 🚦🍁🇨🇦 :
msemaji Toyota alphard 2006/2007 nini changamoto zake mkuu
2026-06-23 19:59:02
2
marykiya_homedecor
MaryKiya :
Subaru Impreza je ?
2026-06-23 17:37:21
1
deeunique76
deeunique76 :
Vipi kuhusu vanguard bro, naipenda na ndo nilikua naitaka🥰
2026-06-24 07:58:04
1
capsc.o
Bea🌿 :
Rumion je?
2026-06-23 05:15:46
6
oppaonesmo5
Oppaonesmo :
Mbona hapa hakuna Gari, kuna vitu vinafanana na Gari tu..
2026-06-22 19:31:07
6
tonyborady
Tony :
Ractis 👌💪🏽
2026-06-22 19:56:57
6
sukerog
suker_og :
Toyota Premio F 1.5L (CC 1490) Premio F huleta muonekano wa kifahari huku ikibaki kuwa ya kiuchumi. Inatoa comfort nzuri, safari tulivu na matumizi mazuri ya mafuta. hapo ndo umenikosha 🤣🤣🤣
2026-06-22 20:10:15
8
zeki.carpets.curtains
ZEKI CARPETS & CURTAINS :
Na Premio 240 1.8L ikoje kaka advise me
2026-06-23 12:44:59
1
dar_used_motors01
dar_used_motors01 :
mm nitaanza na ALPHARD inshallah
2026-06-24 17:39:24
1
dmakuru
Smile_of_Faith 🤩 :
Harrier tako la nyani vipi mkuu??
2026-06-24 11:21:50
1
__lovesiyah
siyalove🇹🇿🇮🇳 :
my car Nissan juke apo bro
2026-06-24 12:05:43
3
12coba8
IMMORTAL COBA HIMSELF :
mmmmmm hata kama naanza maisha but I S T
2026-06-23 17:17:21
1
augen.kikoti8
Augen Kikoti :
Team crown ndege ya chini like hapa🙌🏻🙌🏻
2026-06-23 16:51:17
1
twaleeb_khan
Twaleeb_khan :
mistubishi mirage
2026-06-23 19:42:50
1
benblanco15
benblanco15 :
Vipi kusuhus Toyota Rumioni ndo natak nianze nayo
2026-06-23 18:43:00
1
babyarvia_store
BABY ARVIA STORE :
Rava4 je
2026-06-23 21:56:02
1
rugondason
Meshack Fabian Rugonda :
Vipi kaka Toyota wish new model 2017 imekaaje hiyo ndugu
2026-06-24 10:12:37
1
shebbyarfa
Arfa :
Suzuki swift 1.3L je
2026-06-24 03:08:30
1
mdaa1108
Mangi :
Toyota IST no 1..
2026-06-24 06:34:53
1
emaxfocus839
emax :
spacio old vip
2026-06-24 03:07:30
1
lolo_jockim
lolo :
Hiv vi mazda box jee
2026-06-24 04:59:44
1
To see more videos from user @msemajiwamagari, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About