@flavorynafoods: Pizza rahisi😋 #homemade pizza quick and easy

flavoryna
flavoryna
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 22 June 2026 06:59:31 GMT
7789
157
1
27

Music

Download

Comments

flavorynafoods
flavoryna :
PIZZA DOUGH Gramu 250 za unga wa ngano (all-purpose flour) Gramu 5 za hamira (kijiko 1 cha chai) Gramu 10 za sukari (vijiko 2 vya chai) Gramu 4 za chumvi (kijiko 3/4 cha chai) Gramu 15 za mafuta ya kupikia (kijiko 1 cha chakula) Gramu 150–160 za maji ya uvuguvugu PIZZA Vijiko 2 vya chakula vya tomato paste Vijiko 2 vya chakula vya maji Kijiko 1/2 cha chai cha sukari Kijiko 1/4 cha chai cha chumvi Kijiko 1/2 cha chai cha oregano (hiari) Punje 1 ya kitunguu saumu iliyosagwa (hiari) VITU VYA KUWEKA JUU (TOPPINGS) Gramu 150–200 za jibini la mozzarella lililokunwa Kitunguu maji kilichokatwa vipande Hoho iliyokatwa vipande Kuku, nyama ya ng’ombe au soseji iliyopikwa na kukatwa vipande
2026-06-22 07:01:46
2
To see more videos from user @flavorynafoods, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About