@mkulima.smart7: Mkulima Smart Initiatives ni watengenezaji wa Economy Chicken CAGES. Economy chicken CAGES ni mfumo wa vichanja unaofaa kufugia kuku aina ya Kuku chotara, kuku wa mayai Layers na kuku wa nyama BROILERS. Mfumo huu unaanza kufugia vifaranga wa siku moja mpaka anakuwa kuku mkubwa. Kwasasa tunafanya ujenzi wa ECONOMY CHICKEN CAGES mikoa yote Tanzania 🇹🇿. Cages zinajengewa shambani kwa mteja. Ukitaka kupata maelekezo kamili karibu ofisini kwetu Dodoma au kupata mafunzo zaidi:- 1.Ingia YouTube Mkulima Smart TV 2.Ingia YouTube Shamba Darasa TV Au tupigi simu/WhatsApp us +255 713 178 868. Karibu kwa huduma nzuri wakati wote.

Mkulima Smart
Mkulima Smart
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 22 June 2026 07:02:44 GMT
7880
221
4
25

Music

Download

Comments

zaitunzedon
zaitunzedon :
Bei
2026-07-06 18:02:19
0
anna.urio7
Anna Urio :
bei gan keji
2026-07-07 19:35:52
1
elkanamo
Elkana :
bei ya cage
2026-06-25 16:08:46
1
To see more videos from user @mkulima.smart7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About