@pci_tanzania: Hii ni fitting ya kwanza ya nguo za wanafunzi wa Masterclass. Stay tuned kusubiri masterpiece zitakazotokea baada ya beading Sasa ni zamu yako kuanza safari ya kuwa designer wa kiwango cha juu Tumeanza kupokea maombi ya muhula mpya unaoanza tarehe 17 August 2026 Fomu za kujiunga zinapatikana sasa. Nafasi ni chache. Tunapatikana Kijitonyama Dar es salaam 📞0718731438 #creatorsearchinsights