@landfyproperty_coltd: USIPOTEZE MAMILLIONI YAKO DODOMA! Kununua kiwanja Dodoma ni fursa nzuri, lakini ukikurupuka unaweza kuishia kulia. Kabla hujaweka saini kwenye mkataba wowote au kutoa hela yako, hakikisha unayafahamu mambo haya 5 muhimu yatakayookoa uwekezaji wako na kukuepusha na adha ya kubomolewa.Tunapatikana DODOMA: Wasiliana nasi leo: +255 792 900 175 | +255 716 891 914 • NSSF House, 3rd Floor