@zahmid_tz: Usifanye utani kabisa katika mambo haya matatu ●Ndoa ●Talaka ●Kumrejea mke baada ya talaka Mambo haya utani wake ni kama kweli tuu. mzungumzaji:Sheikh Nurdin Kishki 💧 Sasa unaweza kutufuatilia YouTube kupitia chanel ya ZAHMID TV, karibu tujumuike kwa pamoja kwenye Ulimwengu wa kiislamu 🌙 ⭐️Follow ili ufahamu uislamu wako kupitia mawaidha, nasaha, darsa, Qur’an na hekima mbali mbali. #uislamu #islamicpost #mawaidha #islamicvideo ⭐️FOLLOW ⭐️ @islamic_halawah @zahmid_tv @nuru_ya_peponi @guide_qalam @islamic_rihla