@its_peniel: Kitu kidogo tu kama hand placement kinaweza kubadilisha muscle inayobeba kazi zaidi. ✅ Mikono ikiwa nje kidogo → Chest zaidi ✅ Mikono chini ya mabega → Shoulders zaidi ✅ Mikono karibu na mwili (Tiger/Triceps Push Up) → Triceps zaidi Kama lengo lako ni kujenga sehemu fulani, hakikisha unaweka mikono sehemu sahihi. Ni aina gani ya push up unayofanya mara nyingi? 👇 #tanzaniantiktok🇹🇿 #pushups