@foodloverstz: Wapenzi, Kama unapenda chicken wings, hakikisha unapika haka ka recipe. Utaenjoy sanaa, Utamu Guaranteed 😋. Viungo vyote vya kupikia mnavipata @foodlovers_products kwa wauzaji mikoani kote. Kila sauce ya kupikia ina kiungo chake kikavu, unaweza kutumia vyote katika upishi au ukachagua kimoja wapo. Bei Zetu ni :- ✔️ SAUCE ZOTE Tsh. 10,000 /= ✔️ VIUNGO VIKAVU Tsh. 5,000 /= ✔️ PILIPILI Tsh. 5,000 /= Wasiliana nasi kwa 0677009477 ( WhatsApp /Call) ili kupata uwakala mahali ulipo au kupata bidhaa zetu kwa bei za jumla. @foodlovers_products #utamuguaranteed
foodlovers.tz
Region: TZ
Monday 22 June 2026 08:49:56 GMT
Music
Download
Comments
Angel :
God knows how many meals i make from your videos 💋
2026-06-22 09:04:05
11
zaitun mussa :
huo unga ni wa nini jaman
2026-06-22 14:29:06
1
asmahaidar :
recipe ya chakul cha mtoto wa six months
2026-06-22 13:55:36
0
janeth George :
food lover hizo nba whattsapp mbna hupokei na hivo viungo tunapataje tena
2026-06-22 15:49:17
0
yusra :
hvo viungo Bei gan unauza
2026-06-22 09:34:35
1
Bella smart&point :
kigamboni mnawakala naitaji space..
2026-06-22 16:27:47
0
momking05 :
Sorce bei gan unauza na Garlic
2026-06-22 11:22:22
0
Pendeza na mimi🥰 :
🥰naomba uwafundishe wacongo kupika jamn
2026-06-22 16:17:59
0
★ManDo☆ 👻 :
Mtaalam fanya kama unatuwekea na Recipe ya UROJO.
2026-06-22 14:47:31
0
cutelagata5 :
et hizo souce nikiwa sina fridge zinaharibika?
2026-06-22 10:00:39
0
sky :
unanifrahishaga tu unavovuta pumzi
2026-06-22 15:46:31
0
chimamy♥️ :
tupike shawarma🥺
2026-06-22 13:13:13
0
RAGIM COLLECTION :
Upo wapi mi nipo Mwanza nahitaji
2026-06-22 13:28:50
0
@floralaulian2 :
eee ninasiku sijakuona my
2026-06-22 10:40:18
0
🌸 Aqua gal😍💕 :
spices za food lovers Dodoma mna wakala?
2026-06-22 14:33:51
0
Shery Shayo :
shinyanga mnaptikana wap
2026-06-22 11:51:58
0
miss_lucie💦 :
wakala morogoro
2026-06-22 15:31:14
0
Jimbo la vunjo :
@foodlovers.tz habari unapatikana wapi dear
2026-06-22 10:22:42
0
★ManDo☆ 👻 :
🌹
2026-06-22 14:49:53
0
Yumy Dalila :
🥰🥰🥰
2026-06-22 15:40:27
0
Lite psafi :
🥰
2026-06-22 10:05:12
0
💚💚BOSSLADY💚🇹🇿 :
🥰🥰
2026-06-22 09:01:15
0
itc_nuuh natalya :
🥰🥰
2026-06-22 08:54:04
0
Tilda Massao :
🥰🥰🥰
2026-06-22 16:02:46
0
To see more videos from user @foodloverstz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.