@kkkt_salasala_dmp: Moja ya sehemu ya ibada ya Liturgia inayobariki wengi. Ikitokea ukakosa wakati huu hua unajisikiaje? Kitu gani kinakuja moyoni mwako unaimba hii sehemu? Karibu tuambie #kkktsalasaladmp #tiktok #ibada
narudi kundini mwa bwana huwa napata sana uchungu moyoni mwangu hadi naona machozi yanatoka🥹🙏
2026-06-22 15:21:06
11
hellenkifanyi :
Niyawaze vyema roni mwanngu,,, Emeen
2026-06-22 15:40:58
4
Mathayo Sarapo :
Aamen amen 🙏
2026-06-22 16:03:57
1
masuu :
mi napenda hii nyimbo jamani
2026-06-22 17:41:56
3
Walawi Gospel & Outreach 2012 :
walawi gospel group&outreach 2o12 arusha Tanzania 🇹🇿 🙌 mchungaji unaimba vizuri sana, wewe ni mmoja kati ya wachungaji wetu wa kkkt wanaojiamini kwenye alter. Amen
2026-06-22 11:14:26
5
Mr Rocky :
Wimbo mzuri sana hongereni sana mmeuimba kwa sauti nzuri sana
2026-06-22 19:12:19
1
Stellah huruma :
usharika wangu huu nimeumisii
2026-06-22 16:36:52
1
barakasombi :
napenda sana wachungaji kama hao wanaimba rohoni hata liturgia inaleta ladha
2026-06-22 17:57:16
2
0782 108611 :
Amen Amen Amen 🙏
2026-06-22 17:49:51
2
Mom B🦋❤️ :
Barikiwaa watu wa Mungu Kkkt ❤️
2026-06-22 20:02:53
1
Babe Sii❣️🦋😊 :
Nuru ya rohoni... naupenda sanaa huu wimbo🥰🥰
2026-06-22 17:45:36
2
Harrison Harrison Rabiamen :
saaaafi
2026-06-22 18:32:36
1
gzone :
jaman🥰 eeh Mungu nimemis kusali kanisani kwangu apa salasala jaman na ata sipo mbali ila Mungu naomba kibali please proud to be mlutheri
2026-06-22 19:22:32
1
Rev Elisa Ezra :
Ameeeen!!! 🙏
2026-06-22 10:00:39
2
Karatu Madishi & Cctv Camera :
glory to God 🙏
2026-06-22 21:37:22
0
Herry Malisa :
Ameeni
2026-06-22 16:09:32
1
sophiagmcome :
amen
2026-06-22 20:11:42
0
Lucas kivenule :
Namuona Mwinjilist wangu Fadhili..
2026-06-22 20:15:40
0
Maria Sekwao :
Amen🙏🙏
2026-06-22 19:02:35
1
Bobu Kweka :
good
2026-06-22 18:42:04
0
Olipiar :
Nyimbo za Lutheran zina upako wa kipekee ndani yake, so calm and deeply touching❤️
2026-06-22 19:25:44
1
jackiebeautysalon_ :
Amenii
2026-06-22 20:48:57
0
fad :
ameeen
2026-06-22 20:15:39
0
Micky wizzy leeh :
napenda sana huu wimbo❤️❤️❤️❤️
2026-06-22 19:27:48
0
anethngowi :
amina
2026-06-22 13:26:50
0
To see more videos from user @kkkt_salasala_dmp, please go to the Tikwm
homepage.