@veriafya: Dkt. Godlove Mbwanji, Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya, akizungumza katika mdahalo wa “Waandae Watoto wako katika Dunia inayobadilika” ulioendeshwa na Hospitali hiyo alisisitiza umuhimu wa wazazi kutokuhukumu watoto kutokana na maksi wanazokuwa wanapata darasani, kwani huo si mwisho wa maisha. Kama mzazi au mlezi, ujumbe huu umekusaidia chochote? Tuambie kwenye komenti!

Veriafya
Veriafya
Open In TikTok:
Region: FR
Monday 22 June 2026 10:25:58 GMT
24490
466
9
235

Music

Download

Comments

kebbyjohn23
kebbyjohn23 :
Kuna maisha baada ya darasan
2026-06-22 13:15:09
3
officiallov
Pendo cakes :
Asante
2026-06-23 06:12:04
0
paschallushemi
paschallushemi :
Asante
2026-06-22 14:43:49
0
user68551349103306
user68551349103306 :
nimekuelewa
2026-06-22 14:21:41
0
user6566812818707
vumga :
umenena father
2026-06-22 14:00:28
0
pendo.joeza
Pendo Joeza :
exactly
2026-06-22 14:45:28
0
mr.trap93
Mr Trap :
Asante Kwa elimu daktari
2026-06-22 19:54:54
0
cherly9600
cherly :
ongeza sauti
2026-06-23 02:55:24
0
user8510813407152
choir master :
😁🖐🖐
2026-06-22 12:33:24
1
To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About