wapendwa kwenye maombi Kuna majibu🙏🙏 Nina ushuhuda apa nilikuwa na safari ya siku nne last week na nauli ni 12000 Kila siku na sikuwa na nauli mpaka usiku wa kuamkia safari😓 guess what nilimwambia Mungu yamkini sina nauli na siwezi kukopa popote lakini ninajua ya kuwa kwako Kila jambo linawezekana🙏🙏 usiku ule nilitumiwa 47000 na nilikuwa napokea zaidi Kila siku ya safari🙏🙏🙏
2026-06-22 13:01:34
20
nanyorilaizer :
Aaaaaaaameeeeeen
2026-06-22 21:26:40
2
heavenlight luxury handbags :
hallelujah
2026-06-22 13:15:34
2
Rehema Elias :
Amen
2026-06-24 06:42:08
0
doubled@20 :
Amina
2026-06-23 12:43:03
1
healthfamilytz :
Mungu nisaidie kuishi maisha ya maombi
2026-06-22 17:54:53
2
stellananyaro4 :
mungu ahsante kwa ajili ya huyu mpakwa mafuta wako🙏🙏
2026-06-22 10:47:08
3
Nancy abel :
Ameen Ameen Ameen
2026-06-22 20:57:20
1
Ruth raphael :
maombi ya juma pili nilikua kama nipo ulaya kuja kushutuka nipo njiro mbingu duniani jamn maombi mazuri sana sana sana baba ubarikiwe sana pamoja na uzao wako wote
2026-06-23 06:48:59
1
furaha masawe :
ameen ameen ameen nabarikiwa sana na meema mungu aloiweka ndani yako
2026-06-22 17:55:48
1
maria 🇹🇿🤲🙏 :
amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-06-22 14:33:47
1
𝕞𝕣 ᵐᵘˢʰⁱ$$# :
mimi nazidi kua na furaha tu jamani nkimsilikiza mwalimu ☺️☺️furaha ya ki MUNGU zaidi☺️😊
2026-06-22 17:36:54
3
Dayanah phanuel :
nakupenda bab yngu mungu akutunze tu🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-22 20:41:29
1
fifi :
Amen and Amen
2026-06-22 13:54:59
0
kcisdory08 :
Amen amen 🙏🙏
2026-06-23 20:37:26
0
Mc Kingu :
Amen
2026-06-23 18:51:30
0
nailancy manuu :
Ameen🙏
2026-06-23 19:05:56
0
antyloy :
Na ushuhuda mwingine,, nilimwomba Mungu anisaidie nitoke kwenye nyumba niliyokuwa naishi kwani ni mazingira yasiyoridhisha😓 wapendwa hapa nina siku ya tatu toka nihamie kwenye nyumba ya majibu yangu🙏🙏🙏 Asante Mungu. nikutie moyo mpendwa usichoke kuomba Mungu anajibu
2026-06-22 13:05:01
4
Irene mnyambwa :
amen mwalimu onesmo ubarikiwe mno
2026-06-23 11:59:16
1
pis ya chugga🥾🔏🚬 :
Amina
2026-06-24 04:55:42
0
DASTAN :
Amina baba wengine ndio pumzi yetu tukikosa tuna ishi vibaya baba
2026-06-24 07:08:09
0
user64887132701913 :
Amen 🙏
2026-06-24 06:47:32
0
Jimmy Bosco :
amina
2026-06-23 17:06:12
0
Pisces🦋♓ :
Ameeni
2026-06-23 15:52:19
0
Lazaro255 :
amina
2026-06-22 10:44:31
0
To see more videos from user @mwlonesmoprosperity, please go to the Tikwm
homepage.