@njaidi.official: 1. Kuvuta sigara ni adui mkubwa wa nguvu za kiume Sigara huharibu mishipa ya damu na kufanya damu ishindwe kufika vizuri kwenye uume. 2. Kitambi kikubwa kinaweza kukuondolea uwezo wa kufanya vizuri kitandani Unene uliopitiliza hupunguza kiwango cha homoni za kiume (testosterone). 3. Kukosa usingizi wa kutosha kunaua nguvu za kiume taratibu Mwili unapokosa mapumziko ya kutosha, uzalishaji wa homoni muhimu hupungua. 4. Msongo wa mawazo unaweza kufanya ushindwe hata kama una hamu Akili inapochoka sana, mwili nao huathirika. 5. Pombe nyingi leo, matatizo ya nguvu za kiume kesho Matumizi ya pombe kupita kiasi huathiri mfumo wa fahamu na uwezo wa kusimamisha uume. 6. Kutofanya mazoezi kunachangia tatizo la nguvu za kiume Mazoezi huongeza mzunguko wa damu na kuimarisha afya ya moyo. 7. Sukari na presha zisizodhibitiwa ni chanzo kikubwa cha tatizo hili Magonjwa haya huharibu mishipa na neva zinazohusika na kusimamisha uume. "Wanaume wengi wanaharibu nguvu zao za kiume kwa tabia hizi bila kujua! Ni ipi unafikiri ni hatari zaidi?👇 #fyppppppppppppphttps #AfyaYaUzazi #TikTokTanzania #wanaume

Hajra na Afya
Hajra na Afya
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 22 June 2026 11:01:10 GMT
806
22
0
2

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @njaidi.official, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About