@tricial_beauty_point: Hizi ni REAL DEEP MASK zilizotengenezwa kwa mfumo wa hydrogel na viungo (ingredients) mbali mbali kuhakikisha inatibu ngozi hadi ndani kabisa sio juu tuu. Zina faida nyingi kwa pamoja kama vile kufanya ngozi kua laini ya kuteleza, kufanya ngozi | glow instantly, ku refresh ngozi, kuimarisha skin barrier Tsh 18,000/= kwa box lenye pc 4 Tunauza pia jumla Piga au wasap 0620 158 104 Tupo dar mbezi na tuna mawakala hapa dar na mikoani pia #deepmask #biodancemask #maskzakitajiri #tricialtips #maskbestsellertz