@fettymvungi: Wakati mwingine tunalalamikia yale tuliyonayo, huku wengine wakitamani kupata hata sehemu ya baraka tulizo nazo. Jifunze kuthamini maisha yako, kuwa na shukrani kwa kila ulicho nacho, na usikubali kulinganisha maisha yako na ya wengine kukunyang'anya furaha. 🙏✨🌿🤍 #fettymvungi #viralvideo #fyp #creatorsearchinsights

fetty mvungi
fetty mvungi
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 22 June 2026 12:57:07 GMT
4082
167
5
35

Music

Download

Comments

user9502856128390
faulata se kihwele :
nikweli
2026-06-22 16:30:24
1
neemasalum955
N&&m@💞💕 :
kweri 🙏
2026-06-22 14:52:47
1
bianarisasi
Biana Risasi :
🥰🥰🥰
2026-06-22 13:50:28
1
To see more videos from user @fettymvungi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About