@ashmar_quotes: YA RABBI, MIMI NI TUMAINI LA FAMILIA YANGU bariki safari yangu, niongoze kwenye njia ya kheri na mafanikio. Nifungulie milango ya riziki halali, uniondolee vikwazo vyote vinavyonizuia kufanikisha ndoto zangu. Nijaalie niwe msaada kwa familia yangu, si mzigo, na niwe chanzo cha faraja na mafanikio kwao. Ya Rabbi, nifanikishe ili niwe tumaini la familia yangu Aamiin Yaa Rabbal alaamin 🤲🥺. #fyp #contentcreator #duaa #follwmypage #trendingvideo @TikTok @tiktok creators