@heavenlylighttv: SUNDAY SERVICE | HIGHLIGHTS "Usiangalie Hali Unayopitia/Usingalie Hayo Majaribu Unayopitia Angalia "MUNGU" Anasema Neno Gani Juu Ya Maisha Yako "Moyo/Akili/Ufahamu Wako Elekeza Kwa "MUNGU" Maana Majira Yako Ya Kujiliwa Na Bwana Ni Sasa (Changamoto/Mapito/Majaribu Visikufanye Ukamsahau "MUNGU") Mtumishi wa "MUNGU" Fm Judicate Anapatikana Katika Jengo La Uwamu Uyole (MBEYA) Stendi Ya Dar-Zambia Mawasiliano:0756067780 Kusapoti Huduma/Partner/Sadaka JINA:FELIX M.JUDICATE 0756067780 (M-PESA)