@osteolife_tz: Je, unasumbuliwa na maumivu ya shingo, au viungo vya mwili mzima? Usipuuze.... Sikiliza kwa makini maelezo ya mtaalamu huyu wa tiba mbadala na uzingatie kila hatua anayofundisha. Huenda ukapata ufahamu muhimu kuhusu chanzo cha maumivu yako na njia za kusaidia kuboresha afya ya viungo na mwili wako. Tazama mpaka mwisho! #tibaasili #Lifestyle #vegetables #nature #osteolife
Osteolife
Region: TZ
Monday 22 June 2026 15:06:31 GMT
Music
Download
Comments
Linda linda :
unakunywa kiac ngani Nani siku ngapi
2026-07-16 11:43:27
0
Massae :
chupa ya glass au ata ya plastic?
2026-06-22 17:35:27
0
amini :
shukraan doc
2026-07-13 04:38:04
1
Salha :
uyu kaka peji yake inaitwaje ata sielwwi
2026-08-16 12:06:48
0
Mariam :
thanks 🙏
2026-07-05 19:29:32
0
chizà luvuga francine :
bonsoir papa
2026-07-25 16:10:13
0
user6231428989468 :
asante
2026-07-01 15:33:52
0
Mamyt :
hii kesho nafanya
2026-07-16 05:53:13
0
hafsa gamaa :
jamani huyu kaka mungu amubariki sana
2026-07-08 19:41:59
1
123456789101112131415161718190 :
Asante
2026-06-24 04:06:04
0
HAPPYNESS :
asante
2026-06-23 07:23:53
0
Aaa Aaa :
ni daw nzry sanaa hiy☺️
2026-06-28 18:29:11
0
Coletha Mwano :
barikiwa
2026-07-05 19:35:42
0
follow and liked plz :
asante
2026-06-23 07:08:32
0
Huss Muya :
kwanini usimenye
2026-07-05 08:55:03
0
machani :
kitunguu maji ndio gani?
2026-06-29 04:02:15
0
Rebby :
kumenya ni nini tafadhali
2026-06-25 12:40:36
0
Aytam madrasa :
nipe dw y gesi
2026-07-08 11:26:03
0
Jamila Babu :
tajaribu miki nitakupa mregesho insha allaha
2026-07-14 05:34:30
0
tropicol :
na shigo yenye tezi pia itasaidia ?
2026-06-27 14:36:16
0
Mtalag, mamanyaka :
🥰🥰🥰
2026-06-23 06:39:19
0
grace shayo :
😌😌
2026-07-06 07:15:25
0
main switch :
😂
2026-09-30 06:19:35
0
To see more videos from user @osteolife_tz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.