@bongofive: Kupitia Recap na Mando @el_mando_tz ametoa maoni yake juu ya watu wanaombeza @rayvanny kwenda kwenye #NandyFestival ya msanii @officialnandy kuwa amejidogosha na kudai show iyo ni Sawa na #ChakaTuChaka kuwa hawako Sawa. Una maoni gani juu ya kauli hiyo ya baadhi ya wadau ni kweli @rayvanny anajidogosha?? Kuangalia uchambuzi Kamili tembelea ukurasa wa YouTube Bongofive