@bongofive: Mbunge wa Viti Maalum (Chaumma) Sigrada Mligo amesema kwa upande wake anaona bajeti mpya ya serikali 2026/27 ina maumivu mengi kutokana na baadhi ya kodi ambazo amedai zinaenda kuwaumiza Mwananchi. Una maoni gani?

Bongofive
Bongofive
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 22 June 2026 15:34:56 GMT
43642
1459
54
144

Music

Download

Comments

maherkim.mohamed
kimcov19@maherJR :
mungu baba tusaidie watanzania
2026-06-25 10:03:05
1
damas.mlowe
damas mlowe :
alooo weeee mdada nakupenda bleee, Asante Tanzania yetu sote
2026-06-24 09:53:36
13
musamfuse0
Musa mfuse :
asante
2026-06-25 13:09:23
1
jshayo2
Jshayo :
yaani huyu dada angetakiwa apewe nafasi ya urais nakupenda dada🥰🥰🥰
2026-06-25 18:07:47
1
fredrickjf4
indigo child :
kweli hudumu milele mama
2026-06-25 17:53:43
1
mzeewafuta
mzeewafuta :
2026-06-25 16:57:11
1
josephy61
user3266890627269 :
kweli huyu dada kaitendea haki nafas yake. Mungu ambariki
2026-06-25 06:19:32
5
bekaboy151
BEKA SHOES CLASSIC DODOMA :
mm nimepata Elem Leo
2026-06-25 12:40:16
2
acheni4
comrade Acheche :
Mama Singrada, Jeshi la mtu mmoja. kongele. Big up mama.
2026-06-24 05:25:49
8
hosianachaula
chaula :
hongera dada
2026-06-25 07:25:54
3
user5903673681394
user5903673681394 :
mungu akubariki.unajielewa
2026-06-25 12:30:26
3
user772191592386
master :
jeshiii
2026-06-24 19:54:32
1
bakari.omary09
Bakari Omary :
SIGRADA MALKIYA WA NGUVU 🥰🥰
2026-06-23 06:59:12
5
nyamgaramamangaba
Nyamgarama Mang'aba :
dada mung akulindee
2026-06-25 08:50:52
1
kaizilegemahmood
kaizilege Mahmood :
Allah akujalie afya njema Inshaallah
2026-06-23 06:21:41
4
user24165036180
neema kasebwa :
mungu akulinde dada
2026-06-23 03:50:52
3
chikuhamis28
chiku hamis :
mungu akulinde mama
2026-06-24 08:49:04
2
gh_001finnest
GH 001 FINNEST :
but at least message imefika
2026-06-24 20:50:11
0
goodluck.nyaki
Goodluck Nyaki :
on point
2026-06-22 15:42:25
2
rajabumsindo429
RAJABU MSINDO :
ila huyu mdada nampenda namuomba mungu anikutanishe nae inshallah 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-23 19:03:54
2
aishamsangi118
Aisha Msangi :
good 👍
2026-06-23 17:45:01
1
kindambjr
kindamba jr :
dah nchi hiii
2026-06-23 11:48:39
1
n288658
Emo d :
mungu hakubariki sana dad
2026-06-24 12:23:00
1
obedrin.mushi5
OBEDRIN MUSHI :
dada yupo vizur
2026-06-25 18:26:59
0
victormbogolo
mbogoro jr :
nakupenda buree mh mbunge
2026-06-25 17:56:51
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About