@millardayo_: Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Chipando amesema hatokubali ongezeko la tozo kwa Maafisa Usafirishaji ‘Bodaboda’ akisisitiza kuwa kundi hilo ni miongoni mwa Vijana waliowahi kuwa msaada mkubwa wakati wa kampeni za uchaguzi. Akizungumza leo Juni 22, 2026 Bungeni Jijini Dodoma katika Bunge la Kumi na Tatu, Kikao cha Hamsini na Nne amesema bodaboda walitumika kama “Jeshi la mbele” katika harakati za kisiasa za kupata ushindi katika majimbo mbalimbali. Ameeleza kuwa wakati wa kugombea nafasi za uongozi alijitambulisha kwa ukaribu na kundi hilo, akisema hata aliwahi kujinasibisha kama ‘Mfalme wa Bodaboda’ hivyo hawezi kukaa kimya kuona Vijana hao wakiongezewa mzigo wa kodi au tozo mpya. “Hatutakubali Vijana waongezewe mzigo, asilimia kubwa ya bodaboda ni darasa la Saba, sehemu walipojiegemeza tunawaangamiza.”

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 22 June 2026 15:41:23 GMT
19985
1804
33
21

Music

Download

Comments

user5022634661530
knows tz :
mungu akutunze sanaa mueshimiwa 🫡
2026-06-22 16:37:37
10
ochu.breezy
Ochu Breezy :
Fact
2026-06-22 15:47:29
4
omarymajengo583
Omary Majengo1. :
huna baya 😅😜🥰🥰✍️📍🇹🇿🙏🙏🙏
2026-06-22 17:58:47
3
masanjangweshemijisena0
ng'weshemi :
Asante mweshimiwa A.K.A chawa
2026-06-22 16:55:03
5
mary.benny29
Mary Benny :
Oyoooooo📣📣📣📣
2026-06-22 17:45:01
3
yahayamruthu
yahayamruthu :
nimemkubali huyu jamaa sana🤝🤝
2026-06-22 20:57:49
0
doubleeson2
DOUBLE E SON :
Ndiooo
2026-06-22 15:45:03
1
gloryfraterni
Gee🦋 :
Asiefaa kafaa big up 👏🙏💪
2026-06-22 22:54:13
0
bp_kasitu
bp_kasitu :
mungu akulinde🙏
2026-06-22 20:47:57
0
samweli2151
samweli,, :
🥰🥰🥰🥰 nomaa saaanaa,utakumbukwa kwa mazurii,,
2026-06-22 20:41:26
0
user80435686615483
baruti mahuba :
upo vizuri
2026-06-22 19:27:15
0
user2162073218828
&N£ng@ :
yupo sahihi👍👍👍👍
2026-06-22 20:55:44
0
keyvannykened507
Keyvanny kened :
kwel baba 💪💪
2026-06-22 20:04:26
0
iamkc984
Kachala98💎 :
HATUTAKUBALIII😅
2026-06-22 18:17:17
0
abedi.hemedi
KIBARANGA HOME APPLIANCE :
Mtu na nusu 💪🏾
2026-06-22 17:55:03
1
cliffcool6
Cliff Cool :
Genius sana 🧠✊🏾 mungefahamu msoto wa kumaliza mkataba wa boda boda wala musingethubutu hata ku mention jina la boda boda kwenye tozo🥹…. Mimi sio boda boda ila naona mitaani what they’ve been through 😔
2026-06-22 18:25:33
2
ibrahim26003
Ibrahim :
chukua fom kaka unapita🥺🥺
2026-06-22 16:02:31
1
johamblack
Jose27junior# :
Wahenga hawamini nin kinatokea kwa mhe. baba levo
2026-06-22 16:59:28
1
user6734798179027
@puresmile🥰🔥 :
jina nani tutume jina kwa mungu na yy apungue
2026-06-22 19:23:26
0
skippa400
ceeskippa400 :
kun mda unaongeag fact
2026-06-23 03:14:04
0
kotinyo1
kotinyo :
Mke wangu anawivu sana
2026-06-22 18:46:07
0
boraauni
boraauni :
Kigoma tunajivunia Mwamba huyu 🔥
2026-06-22 19:35:58
0
zakayo.richard6
Zakayo Richard :
hapo hutosikia makofi maana anawapasua vichwa wakandamizaji
2026-06-22 18:00:25
0
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About