@innergames_: KUWAJIBIKA ni funzo mtu anafaa kulipata tangu utotoni. Si kwa vitendo pekee, kwa kuona, kusikia na kuishi uwajibikaji. Wengi wetu tunatokea kwenye jamii na mazingira ambayo watu wazima wa wana-kwepa kuwajibika kwa matendo na maneno yao... hivyo tunajipata nasi tunakua watu wazima wenye kukwepa uwajibikaji. Wanasema MTOTO WA NYOKA NI NYOKA. Kuwajibika ni sehemu ya Kujiheshimu na Kuheshimika. Mtu akijifunza haya mapema, uwajibikaji unakua sehemu ya maisha yako bila kutumia nguvu nyingi. --------------------------- #fyp #coachbe #accountability #innergames #thebecast