@rusubithomas02: #creatorsearchinsights

Rusubithomas02
Rusubithomas02
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 22 June 2026 18:16:22 GMT
3023
159
23
7

Music

Download

Comments

paabyboy1
Paabyboy1 :
1)Tatizo umeenda kanisa gani 2)chapili atumtafuti mungu bali tunatafuta miujiza ndo shida inapo anzia mtafute mungu kwanza mengine yatakuja tu
2026-06-23 03:46:48
7
dr.danieli
Dr.Daniel :
hapana unakosea muombe mungu akupe neema tena changamoto zipo lakin sio kumuacha mungu ndugu yangu go fast and repent for all matters.
2026-06-23 09:56:32
2
ney78794
Ney :
Usimsusie Mungu my dear,Mungu anawatu wengi sana tafuta sehemu wanapomuabudu Mungu katika roho na kweli achana na hao wafanya biashara
2026-06-23 12:28:57
1
clearihb86r
Clear :
Tafuta sehemu sahihi yakuabudu🥺
2026-06-23 02:33:10
5
enock_humble
Enock humble 🎵 :
Ingekuwa kila mtu anachukua maamuzi kama yako basi watu wengi wangeacha kwenda kanisani sababu makwazo wengi tunakutana nayo na tunamuomba Mungu na anatutia nguvu tunasimama upya, hatutakiwi kuyumbishwa na vikwazo vya watu you have to be strong bro na umuombe sana Mungu pale unapohisi kulemewa na makwazo kutoka kwa watu na kumbuka tunaenda kanisani kwasababu ya Mungu na sio mwanadamu na ulivyosema unasalia nyumbani hauko sahihi kabisa sababu kwenye Biblia neno la Mungu limesema msiache kukusanyika mahali pamoja na piah neno la Mungu sehemu nyingine limesema ajitengaye na wenzake hutafuta matakwa yake yeye mwenyewe, I hope utapata kitu kupitia huu ujumbe kaka
2026-06-23 08:53:02
1
dorcasrouterwifisupplie1
dorcasrouterwifisupplie1 :
Kaka sababu moja isikufanye uchukie makanisa tatzo ulienda kwenye makanisa ya wafanya biashara ,Mungu yupo kila mahali muombe yy muulize the best church ambalo atakuongoza kwenda kusali pia neno lake mwenyew linasema wanapokutana wawili watatu yupo katikati yao kwahy best way ni kumuomba Mungu akupe sehemu sahihi ya kuabudu 🥹🥹
2026-06-23 03:12:10
6
mselaura8
Elaura🖤👑 :
Wako kazin😅
2026-06-23 07:32:06
1
momo1onl
Bebwa :
Hapana kakaangu Nenda Kanisani,maombi ya wengi yana nguvu,maombi ni silaha
2026-06-23 06:32:29
3
devotajs
Devota JS :
Pole sana. very touching. Hatujamuacha Mungu. Tumeacha hizi kanisa zao. Stay Blessed
2026-06-22 19:19:24
0
hilda.erick
Hilda Erick :
Ndiomaana naombaga nyumbani mm maana mungu anajibu popote kwanza hataivo mungu anapenda maombi ya utulivu kuliko makelele Polen sana
2026-06-23 03:28:29
4
auntie_rasta
NESS BEAUTY AND RADIANT :
😂😂😂 sasa utazikwa vip mwenetu
2026-06-23 04:46:23
1
sankwa_0
𝓈ⓐ𝓷Kฬⓐ_☦️⛪️ :
kanisani nisehem ya mafundisho na kukumbushwa ndoman ukiwa uendi kanisani mara kwa mara unajisahau san unajikut tu unaenend kweny njia isiyokupasa na ki2 kingine mim kwa ninavo Amin Hakun nabii wala Mtume waukwel saiv coz kil ki2 kimeshatabiliwa mitume na manabii wote walitabil kil ki2 na wote wameshapit 🙏🙏
2026-06-23 10:50:13
1
its.gee42
it's 🌸gee :
duh pole
2026-06-23 08:33:35
0
luntudj_
Luntudj :
🔥🔥🔥
2026-06-23 04:55:32
1
luntudj_
Luntudj :
🥰🥰🥰
2026-06-23 04:55:26
0
To see more videos from user @rusubithomas02, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About