@jfm_biashara: Chupa za chai za stainless ☕ Huhifadhi joto la chai kwa muda mrefu. ❄️ Inaweza pia kuhifadhi vinywaji vya baridi kwa muda mrefu. 💪 Imara na haivunjiki kirahisi kama glasi. 🧼 Rahisi kusafisha na haina kutu. 🌿 Haina harufu wala ladha inayobaki baada ya matumizi. ♻️ Inatumika mara nyingi, hivyo ni rafiki kwa mazingira. 📍Tabora Nzega #stainlesssteel #businesswoman #insightcreatorsearch #taboranzega #ticktocktanzania🇹🇿

JFM_BIASHARA
JFM_BIASHARA
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 22 June 2026 19:07:22 GMT
264
18
3
1

Music

Download

Comments

andrea.mbwilo1
acha kulamika :
uhakika kupata ela
2026-06-23 17:10:52
1
official.shuui1
Ashura said :
❤️❤️
2026-06-23 19:22:56
1
To see more videos from user @jfm_biashara, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About