@mbtvkenya: Hatuwezi kuwalipa wazazi wetu kwa yale waliyotutendea. Tunachoweza ni kuwaheshimu, kuwatunza, na kuwaombea kila siku. ❤️ Wazazi ni neema ambayo thamani yake huonekana zaidi tunapoitafakari. #Wazazi #HeshimaKwaWazazi #DuaKwaWazazi #MahabaYaWazazi #Shukrani #MafunzoYaMaisha #IslamicReminder #MBTVKenya