(1) Sifa na Shukrani (Zaburi 100:4) (2)Toba (1:Yohanna 1:9) (3)Tangaza msamaha na achilia ulio washikilia (Marko 11:25 4)Takasa anga kwa kukamata wakuu wa anga na jeshi la Malaika wa giza (Yeremia 1:10) (4) Takasa kila kitu na damu ya YESU (Waebrania 10:19) (5) Mualike ROHO MTAKATIFU (Warumi 8:26-27) (5) Anza kuomba mahitaji yako (Mathayo 7:7 (6) Shukuru, funika maombi kwa damu ya YESU, kabidhi maombi, kataa roho ya malipizi, funga maombi kwa sifa na Shukrani (Marko 11:24)
2026-06-23 22:27:36
80
George Shirima :
Nimeipenda Handwritting Yako,Blessed🤝
2026-06-23 09:36:08
22
Serenity❤️ :
Hello 1.Should be SHUKRANI 2.Toba🙏🏾.
2026-06-23 18:30:37
9
Raban :
Kwa Mimi nafahamu kitu cha kwanza kwenye ombi ni Shukrani kisha Toba na vingne vinafata. Barikiwa rakini🥰
2026-06-24 07:35:56
12
BBD💋💞 :
Kuna mimi ambaye huwa nasali tuu bila mpangilio lakini Najua maombi yangu Huwa yanasikika tuu 🙏🥰Asante kwa Muongozo huu.
2026-07-16 11:38:39
14
rianah💝 :
asantee jmn🙏
2026-07-05 18:00:32
1
lissa❤️ :
Asante sana wajina🙏
2026-06-24 12:09:09
1
marymoshi8 :
ameen
2026-06-23 11:13:59
1
pizzo bou :
God is good 👍 🙏
2026-06-24 04:42:37
1
Cute vee🌹 :
Amen🙏🙏
2026-06-23 13:52:52
1
Lulumpalanzi22 :
Amen
2026-06-23 17:53:48
1
Iowkey___ :
Apo ni 1Yoh 1:9 shukran anyway 🙏🏽🙏🏽
2026-07-20 15:40:52
0
RAISIII WA KAHAMA🥷🥷 :
Mi Huwa naanza hivi
Shukranii kwa siku mzma
Toba
Naanza maombi
Shukranii
Ameeen🙏🙌
2026-07-26 00:24:47
2
Humble girl🥰🥰 :
Amena
2026-06-23 19:49:35
1
reganmagai :
Asante ubarikiwe sana 🙏
2026-06-23 16:31:54
0
Ninah Osborn :
Shukrani basi naanza maombi na kuna muda hata shukrani itafuata humo humo Mungu hana formula jamani
2026-07-02 10:29:27
1
JOVIN 🇹🇿 :
Amen🙏
2026-06-23 16:38:00
1
hustlertz27 :
asa mbona unafungia tusi download 😔
2026-06-25 10:09:08
2
Happy Siuji :
Be blessed🙏
2026-06-23 17:23:15
1
mausay :
umezuia tusidownload
2026-06-23 21:23:48
2
nyakigal :
samahan lakin unaanza kushukuru then Toba na Rehema🫂
2026-06-25 06:00:43
2
lyne caro blessings :
shukran kwanza ,then Toba according to me
2026-06-24 14:24:55
3
Dante :
je ukianza na shukran then toba?
2026-06-23 14:56:04
3
mom Ethan :
Thanks
2026-06-23 10:02:03
1
To see more videos from user @thechoose91, please go to the Tikwm
homepage.