@shayannnn08: Khuhra Alam pak shaheed 😭💔🏴#repost #fypシ゚ #fyppppppppppppppppppppp #trending #repost

❝ 𝓼ℎ𝒚𝓪ꪀ_! ❞
❝ 𝓼ℎ𝒚𝓪ꪀ_! ❞
Open In TikTok:
Region: PK
Monday 22 June 2026 22:41:18 GMT
1372
110
10
9

Music

Download

Comments

umulbaneenpirzado
Um_ul_Baneen pirzado❤️ :
alw😭😭😭😭😭😭😭
2026-06-23 08:37:42
0
simple_boy_453
NOOR NABI👉😉 :
❤️❤️❤️
2026-06-23 07:41:42
0
zainnnnn96
. :
😭😭
2026-06-22 22:49:11
0
kashifalikaloda
🦅Kasشif Abbaسi🦅 :
😳😳😳
2026-06-23 05:41:07
0
hassanujjan876
Hussaini🚩🚩 :
♥️♥️♥️
2026-06-23 04:32:57
0
user151544066
Ali Raza :
😭😭😭
2026-06-23 03:16:10
0
s.a.memon786
💓𝑺.𝑨.𝑴𝒆𝒎𝒐𝒏💓 :
😭😭😭😭
2026-06-23 06:33:40
0
islamivideo555555
love Islam :
🥺🥺🏴
2026-06-22 22:48:26
0
mehdi.ujjan
Zawar Mehdi U.... :
🥺🥺
2026-06-22 22:45:32
1
shahzainabbasi066
Shahzain Alee :
❤️❤️❤️
2026-06-23 07:42:35
0
To see more videos from user @shayannnn08, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

RAIS DKT. MWINYI: SERIKALI KUENDELEA KUIMARISHA HUDUMA ZA MSAADA WA KISHERIA KWA WANANCHI Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kuimarisha huduma za msaada wa kisheria ili kuhakikisha wananchi wanapata haki kwa wakati, kwa usawa na kwa ufanisi. Rais Dkt. Mwinyi ameyasema hayo leo, tarehe 20 Juni 2026, kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakati wa uzinduzi wa Awamu ya Pili ya Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, uliofanyika katika Viwanja vya Maonesho Kizimbani, Dole, Mkoa wa Mjini Magharibi. Amesema kampeni hiyo imewezesha mamilioni ya wananchi kupata huduma za msaada wa kisheria bila malipo, huku Serikali ikiendelea kuondoa vikwazo vya upatikanaji wa haki kwa kusogeza huduma karibu zaidi na wananchi. Aidha, Rais Dkt.Mwinyi ameeleza kuwa Awamu ya Kwanza ya Kampeni hiyo iliyotekelezwa kuanzia mwaka 2023 hadi 2026, zaidi ya wananchi milioni nne walinufaika na huduma za msaada wa kisheria katika mikoa 26 ya Tanzania Bara na mikoa mitano ya Zanzibar.  Rais Dkt. Mwinyi ametoa wito kwa taasisi na wadau wote katika sekta ya utoaji haki kuimarisha ushirikiano ili Awamu ya Pili ya kampeni hiyo iwafikie wananchi wengi zaidi, hususan walioko maeneo ya pembezoni na makundi yenye mahitaji maalumu. Halikadhalika, amesema kampeni hiyo inaunga mkono utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050 na Ilani ya Chama Cha Mapinduzi ya mwaka 2025 hadi 2030, zinazoweka kipaumbele katika kujenga mfumo imara wa haki, utawala bora, amani, usalama na utulivu wa Taifa. #ikuluzanzibar

About