@giapthithuyhang: Combo rổ kèm thau

Hằng Thích Ở Nhà
Hằng Thích Ở Nhà
Open In TikTok:
Region: VN
Tuesday 23 June 2026 00:21:35 GMT
25
0
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @giapthithuyhang, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Baba katika jina la Yesu Kristo  Ninaomba unisamehe makosa yangu yote  Ninaomba unisamehe kwa kujiunganisha na madhabahu za giza kwa kutokujua au kwa kujua katika jina la Yesu Kristo  Imeandikwa  📖1 Petro 1:2
Baba katika jina la Yesu Kristo Ninaomba unisamehe makosa yangu yote Ninaomba unisamehe kwa kujiunganisha na madhabahu za giza kwa kutokujua au kwa kujua katika jina la Yesu Kristo Imeandikwa 📖1 Petro 1:2 "kama vile Mungu Baba alivyotangulia kuwajua katika kutakaswa na Roho, hata mkapata kutii na kununyiziwa damu ya Yesu Kristo. Neema na amani na ziongezwe kwenu". Inaiitia Damu yako Bwana Yesu inyunyizwe ndani yangu Damu yako iondoe magonjwa ndani yangu Damu iondoe kila agano la damu liliofanyika kinyume na maisha yangu Damu yako Yesu ikavunje kila madhabahu zilimwagwa damu ili kuzuia ongezeko langu katika jina la Yesu Kristo Damu yako ikawafadhaishe na kuwateketeza kila mashetani wanaoilinda damu inayonena mabaya juu yangu katika jina la Yesu Kristo maana imeandikwa 📖Waebrania 12:24 "Na Yesu mjumbe wa agano jipya, na damu ya kunyunyizwa, inenayo mema kuliko ile ya Habili. Baba katika jina la Yesu Kristo Nanyamazisha kila damu za ukoo zinanena mabaya juu yangu Nanyamazisha damu za wanyama zinazonena mabaya juu ya maisha yangu Nanyamazisha kila damu inayonena mabaya juu ya biashara yangu Nanyamazisha kila damu inayonena mabaya juu ya ndoa yangu na mahusiano yangu Nanyamazisha damu inayonena laana juu yangu Damu inayonena kushindwa Damu inayonena kukataliwa katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth mwana wa Mungu alie hai Baba katika jina la Yesu Kristo ninaamuru Damu ya Yesu inene ushindi Damu ya Yesu inene kufanikiwa Damu ya Yesu inene ajira kazini Damu ya Yesu inene kuinuliwa uchumi Damu ya Yesu inene kibali cha kuinuka Damu ya Yesu inene mema kwa watoto wangu Damu ya Yesu inene mema katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth mwana wa Mungu alie hai Bwana Yesu asante kwa damu yako iliyomwagika msalabani kwa ajili yangu Asante wa damu yako ambayo imeweza kunena mema kwenye maisha yangu Asante kwa kumuondoa adui kwenye njia yangu katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth mwana wa Mungu alie hai... #creatorsearchinsights #goviral #viralvideo #fyppppppppppppppppppppppp

About