@kevychazy_: @wolperstylish ameweka wazi kuwa ilikuwa ni ngumu sana kushindwa kuposti video za @wemasepetu kipindi ambacho alikuwa na Ujauzito ivyo waliamuwa kwa pamoja kumlinda rafiki yao kwa kuwa utamaduni wetu si vizuri kumposti mtu mwenye ujauzito. Full video ipo YouTube channel ya #ChazyMedia #tiktokindia #fypシ゚viral #tiktokviral #tiktoktiktok