@dr.owden20: Tanzania inaendelea na maandalizi ya mwongozo na miundombinu ya kutoa dawa ya sindano ya kinga ya VVU (Lenacapavir). Nchini Tanzania, serikali kupitia Mpango wa Kitaifa wa Kudhibiti VVU, Magonjwa ya Ngono na Ini (NASHCOP) iko katika hatua za mwisho za kuandaa miongozo ya utumiaji wa dawa mpya ya sindano ya Lenacapavir, inayotarajiwa kuanza kupatikana. Dawa hii inatolewa kwa njia ya sindano mara mbili tu kwa mwaka (kila baada ya miezi 6) kama njia mbadala ya vidonge vya kila siku vya PrEP. @🏥ElimuyaAfya🩺 @NASHCOP_Tanzania @Edna mwemutsi

Dr Owden (MD)
Dr Owden (MD)
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 23 June 2026 01:39:58 GMT
139674
5090
141
327

Music

Download

Comments

fatma.rajimbo
Fatma Rajimbo :
mwenyezi mungu atujalie siku moja huu ungonjwa utokomee na ubaki kuwa wa history ee mungu tusaidie inshaallah 🙌 👏
2026-06-23 05:59:52
123
mcibucompany0
mcibucompany0 :
Hiyo Pep ya miezi sita bei gani sindano??
2026-06-23 07:12:26
4
magdalenaharuna
Magdalena Haruna :
e mungu tusaidie tumechoka kuishi nakila masharti ya hii dunia
2026-06-23 10:16:34
15
recho.benjamin4
Recho Benjamin :
mungu wangu nakuomba uwape njia ya kupaka na tiba pia
2026-06-25 05:45:24
6
agneskitara
masogange💞 :
jamani mungu atulinde
2026-07-31 06:39:02
0
brandin2006
user61940174288770 :
tuleteeni dawa bana , dawa zipo
2026-07-29 18:17:59
0
honoratha49
Honoratha :
Ameen
2026-06-23 10:07:08
0
rehemashamsi395
Rehema Shamsi :
kwa kweli
2026-08-01 07:46:06
0
sharifu.hussen7
Sharifu Hussen :
asante
2026-06-23 14:56:09
1
user1270476950509
asiana :
haaaaaa
2026-07-22 02:53:05
0
baby.mee37
marry marry :
jamn MUNGU afanye wepes jmn
2026-06-23 21:05:00
2
user1608410918618
Salome :
Eee mwenyez mungu tusaidie sisi sote🙏🙏
2026-06-27 14:38:30
0
user7444796096954
glory :
je waliokuwa nayo tiba hamna
2026-06-26 18:03:12
0
aminatha308
Emmy :
ee mungu simama nasi
2026-06-26 06:03:37
0
user3736153917771
user3736153917771 :
namwenye maambukizi je awezi tumia
2026-06-27 14:36:15
0
gracechepesi2
gracechepesi :
mmm mambo ni mengi kwa kweli.
2026-06-27 06:48:10
0
mwajuma566
mwajuma566 :
Pete tena
2026-06-23 19:06:29
1
ombi.n
user6174287959455 :
kweli
2026-06-24 21:49:09
0
nonontuly
,💞💕 :
Good
2026-06-23 11:44:29
1
tedyjohn24
teddy :
tunashukuru
2026-06-23 16:41:31
0
user5710096573924
angel A omond :
ww vai ujambo?
2026-06-25 21:28:09
1
hilda92859
Hilda :
kweli bhana
2026-06-23 12:40:24
0
denteee3
dante :
wabeee😁😁😁
2026-06-23 04:52:49
2
rebeccalembile
Reby lembile :
conduct zako please Dr
2026-06-23 09:39:40
1
user2871883432099
bless luge tz :
mungu atusaidie jamn
2026-08-03 07:45:43
0
To see more videos from user @dr.owden20, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About