@prince.fwany: Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. — Injili ya Yohana 14:6 #heaven #trending #reality #talk #viralpost
mbinguni tutaongia kwa neema ya kristo Ila sio kwa matendo ya sheria🙏🏿
2026-07-17 16:38:24
111
VOMO TV :
hakuna mbinguni huo ndio ukweli
2026-07-14 17:54:06
45
user7281699179784 :
yuko sahihi jmn
2026-07-12 10:02:25
40
Jacky🥰💮 :
anamanshaa , kati ya amri zote kumi hakuna mtu amezitekeleza ,,,,ama sijui mnasemaga kusitenda☺️
2026-07-12 22:16:24
25
ombeni :
me mgeni hivi mbinguni ni wapi kwa anaejua
2026-07-14 18:00:46
12
mangi telephone compony :
ni wewe ndio huendi Mimi sipo katika Sheria au torati naingia kwa rehema zake maana KRISTO NDIO NJIA
2026-07-15 20:23:13
29
rey :
hayo macho vip kwani
2026-07-10 22:06:32
41
Dorcas :
yupo sawa
2026-06-29 20:01:11
5
Madam Mooney🧕🏻✍🏻💕 :
huo ndo ukweli sasa
2026-07-15 08:18:35
7
sai.baby :
mbn kaa kweli
2026-07-11 21:34:02
11
lost in love🇰🇪 :
30 30
2026-06-30 05:14:01
6
user581904099499 :
kasema kweli kamaanisha iv akuna mtu atapata.pepo kisa kufanya ibada sana ila ataenda mbinguni kwa huluma ya mungu tu
2026-07-14 18:44:07
7
FARIDAH 💝💝💝 :
me naona yupo sahihi kabisa 100%
2026-07-12 12:00:05
7
user6802015195718 :
kwelii kabsss yupo sahihi
2026-06-30 06:35:02
7
cute momo 🌼 🌸 :
ayo macho vip kak
2026-07-06 19:26:39
5
Agatha :
na hayo macho vipi
2026-07-01 18:24:24
6
siraji asani :
yupo sahii
2026-07-02 19:28:59
9
JB :
Anajiamlia mambo msabato
2026-07-12 07:52:38
21
Deo Fredrick :
hakuna kujiamulia mambo ila huo ndio uhalisia maana tukihukumiwa kupitia amri kumi za mungu namm nasema hakuna mtu anakanyaga mbinguni labda huruma tu ya mungu
2026-07-15 07:43:28
5
mwamwezi john :
wanao sema huyu kajiamlia mambo gonga like hapo 👈
2026-07-12 12:15:05
5
beautymyra122 :
yupo sahii
2026-06-30 06:33:58
10
Nikol 2nyi :
Wew yupo sahihi bwana watu wa mngu bwanayesu asifiwe🥰
2026-09-19 12:21:26
0
To see more videos from user @prince.fwany, please go to the Tikwm
homepage.