Niliwah kupambana kwa ajili ya mtu nilitoa kila kitu nilichojaaliwa na mungu nilionyesha upendo,kujali kuthamin,nilichoambulia ni maumivu na dharau kitu ambacho sitamani tena kuishi hayo maisha kuna binaadamu wanaroho za hovyo sana🥺
kuna mahali nilimpenda mtu nikajikuta nipo nashindwa kutoka ni vile nashindwa kuachilia haraka nilivumilia dharau kwa mda mrefu sana
2026-06-23 05:10:50
25
iam naah braylee21 :
Kazin kwang jmn wananifanya nakosa amani kila siku 🥺
2026-06-23 18:39:32
6
remmyshalismohamm :
mapenzi ambayo niliamini badae ikawa sivyo kabisa
2026-08-01 19:55:19
3
leo 🧸 🐻 :
aiseeee we kaka una dunia yako jaman ,,,,kila cku unaniongelea mimi jaman,,,,,unajuaje???🥺
2026-07-09 08:40:22
1
MADAM TINA 🤍💥 :
Mimi ni wathamani coz sijawai kuwathamin
2026-06-24 06:54:19
2
eddyjunior1989 :
kumbadilisha mtu ambaye hayuko tayari kubadikika ni sawa na kuendelea kumwamsha marehemu ambaye tayar Yuko kaburini ukiamini siku moja ataitika na arudi Aishi km zamani😭🚶
2026-07-17 07:35:43
2
mama boys :
ndoa imenifanya nione mm siko sawa mm ndio mkosefe nimezdsha wema sana
2026-09-12 07:02:25
1
cristinajastin7 :
ni kweli kabisa
2026-06-27 18:12:48
1
JAWABILLIONAIRE KINGDOM :
Je ninaweza kupata msaada wa kuuratibu mpanglio wangu wa psychology maana naona jua katikati ya moyo wangu na njia siioni
2026-06-23 10:05:15
3
teddy :
mapenz nilimpenda mtyu lini hakuona umuhimu wang na wala hajali chochote
2026-07-25 14:05:52
1
mamy,, :
😭😭😭😔naumia mm mpk nimekat tamaa sijuw thaman yangu mpk Leo
2026-06-24 10:04:01
5
Gladdy😍 :
Kabisaa Ase
2026-06-23 08:41:27
1
Mama Muu🌹 :
aaaah mim kwa sasa uvumilivu sina kwakwel
2026-06-24 20:59:47
4
didah :
Nimekaa mda mrefu ila kwa malengobado kidogo sana watajuta kunipoteza na watakua wamechelewa nimeondoka na ushindi alhamdulillahi 🥰
2026-06-26 16:37:47
3
yunisi :
naweza jaza kurasa ya koment maana sijui pakuazia
2026-06-23 07:36:47
3
Ukhty Shuu me❤️🔥 :
tunaish humo na bado tunaish 🥺
2026-06-23 15:07:21
3
Real❣️me :
Fact👌🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-23 05:56:41
1
✋Stay with me :
Ila bora kuchitiwa sio kuzalauliwa inauma sana hasa mtu unampenda
2026-06-23 10:55:55
1
Regan mom 🥰 :
mh
2026-08-17 09:04:03
0
Zaheera ❤️ :
Huwa unasema kweli kabisa kaka
2026-08-11 19:26:36
0
Mama kareem :
kweli kabisa jaman
2026-08-06 11:54:40
0
Zabron :
trust
2026-06-23 08:53:24
0
To see more videos from user @talkboutitwithconradley, please go to the Tikwm
homepage.